Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?

Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?

Hivi kibailojia suala hili limekaa vipi? Ni kweli kuwa damu za wanawake huchemka wanapokutana na tupu za wanaume hasa za kushtukiza?

Hapana, anza kisaikolojia kwanza mpe mwanamke uhakika wa maisha. Mpe vitu vizuri, mpe pesa, muweke pazuri..... bila hata kukuona uchi mtupu atapata hisia

Wanawake wanahitaji care na protection kwanza, wakipata hivyo huko kwingine wewe mwanaume utafurahi mwenyewe
 
Unataka kusema na wazee wetu walipitia haya unayosema??
 
Kwani Dr Mwaka na Haji Manara wana comment vipi?

Wabinafsi wale, hawana akili ya kuishi na wanawake. Wameingiza kuwa na care na protection ila hawana lolote.

Ukweli unabaki paleeeee - Ukitaka kuishi vizuri na mwanamke akakuona kama Mfalme unatakiwa kuwa na Akili na uwe na uwezo wa kumtunza pia.

Ukiwa na akili ukakosa uwezo wa kutunza familia unaonekana kama mwehu na utaachwa au kuibiwa tuu. Ukiwa na pesa ukakosa akili za moyoni mwanamke unayempenda atakuacha au atakusaliti
 
Back
Top Bottom