Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?

Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?

Wabinafsi wale, hawana akili ya kuishi na wanawake. Wameingiza kuwa na care na protection ila hawana lolote.

Ukweli unabaki paleeeee - Ukitaka kuishi vizuri na mwanamke akakuona kama Mfalme unatakiwa kuwa na Akili na uwe na uwezo wa kumtunza pia.

Ukiwa na akili ukakosa uwezo wa kutunza familia unaonekana kama mwehu na utaachwa au kuibiwa tuu. Ukiwa na pesa ukakosa akili za moyoni mwanamke unayempenda atakuacha au atakusaliti
kwanini nitafute akili ya kuishi na mtu?

Huyo mtu kwanini ahitaji akili za mtu mwingine ili kuishi nae, kuna shida kidogo
 
Hapana, anza kisaikolojia kwanza mpe mwanamke uhakika wa maisha. Mpe vitu vizuri, mpe pesa, muweke pazuri..... bila hata kukuona uchi mtupu atapata hisia

Wanawake wanahitaji care na protection kwanza, wakipata hivyo huko kwingine wewe mwanaume utafurahi mwenyewe
Hivi nyie hili tatizo la ajira na mitaji kwani hamulioni au munaandika tu kwasbabu ni wanawake, kwa namna hii wanangu endeleni kupiga na kusepa
 
Hapana, anza kisaikolojia kwanza mpe mwanamke uhakika wa maisha. Mpe vitu vizuri, mpe pesa, muweke pazuri..... bila hata kukuona uchi mtupu atapata hisia

Wanawake wanahitaji care na protection kwanza, wakipata hivyo huko kwingine wewe mwanaume utafurahi mwenyewe
Sio kwel haya maneno yanaaribu mind set zetu tunaacha kupigania ndoto zetu tunapigania wanawake.
 
Hakuna mwanamke mweny hisia siku hizi,mikopo na marejesho ishakwapua hisia zote...wengi hapa watakuambia uwape hela wapate hisia,kumbe nyuma ya pazia wanataka tuwape pesa wakalpe mikopo na marejesho...TOO SAD INDEED!
 
Back
Top Bottom