Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?

Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?

Wanawake ni wajinga sana,humu wengi wao wamesema wazi wazi wakiona pesa ndo wanaloa ina maana sio mwili wa mwanaume na hapo hapo anataka awe na mwanaume wa peke yake

Kumbukeni mwanaume anaekupa hela hawezi kukupa wewe peke yako lazima awapange pimbi nyie

Umetugombeza[emoji23][emoji23]
Sasa kwann utuite pimbi mkuu
 
Umetugombeza[emoji23][emoji23]
Sasa kwann utuite pimbi mkuu
Sorry mkuu

Unajua huwa napata hasira mwanamke anatumia pesa yangu nyingi na nikitaka kupata ladha mpya hataki,wakati pesa yangu ndo imempata yeye lakin ananibana nisiinjoy nikala mbususu zingine

Nikisema nimuache anaanza kujiliza na mimi huwa sipendi kuona mwanamke anatoa chozi kwasababu yangu
 
KIkawaida hatupati hisia zozote.
Hisia zinakuja kwa kusindikizwa na zawadi, pesa au maneno matamu ya uongo na kweli..

ILa wapo wanaume watamu bana, warefu wenye vifua vyao utatamani akukumbatie
Na uzae Me wafupi wafupi zaidi kiasi cha mbilikimo kwa sababu siku hizi Ke huwa mnawabagua sana Me wafupi kama vile walijiumba [emoji57][emoji2960]
 
Back
Top Bottom