mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Nijibu na wale wanaochukua zile wanazohudumiwa wanawapelekea wengine wasio na kitu. Wanalipia mpaka chumba wakapeane Raha za dunia.
Sijakataa najua hata jogoo anatoa kitu .
Ila na wewe nijibu hapo inakuwaje.
Yule jamaa wa mwanza buswelu mkewe aliondoka akarudi kwa ex wake wakaenda kufurahia na huku home ana kila kitu. Missed call42 baadaye risasi Saba.
Pia uelewe jef Benzos pamoja na bill gate wameachana na wake zao so hapo shida Ni Nini na wao walishindwa kutoa huduma ama walikuwa bado hawajakuwa kufahamu majukumu yao
Ukiwa na akili ukakosa uwezo wa kutunza familia unaonekana kama mwehu. Ukiwa na pesa ukakosa akili za moyoni mwanamke unayempenda atakuchacha au atakusaliti
1 PETRO 3:7
"Kadhalika ninyi waume, KAENI NA WAKE ZENU KWA AKILI; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.