Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?

Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?

Umesema uhalisia, kwa uzoefu wangu mdogo nakubaliana na wewe japo wachache kati yao wanaojiweza kwa kipato wanahitaji care zaidi. Ila mambo hayajawahi kwenda kiwepesi pasipo kipato my dada.

Ukishalijua hili umeshinda😃😃😃
 
Ndio maana yake

Upendo ni kutoa
Mfano mie Sina kitu so sihitaji nikupende jamani. Ama kipato changu nachoma mahindi napata hela ya kula tu so Ina Mana siwezi penda.

Na nyie huwa mnatoaga kweli ama ndio Ile ya kuhesabu kuwa nimekubudumia kiasi fulani
 
Upendo ni kutoa
Hii Ni kauli ya mwanamke ambaye hajamkubali mwanaume 100% TUSEME UKWELi.
Sema inatumika Kama kivuli ama kuficha mtu kujipatia mahitaji kisa Cha mahusiano.
Inakuwaje unaweza unampatia hela yako analipia hotel nzuri mno anamuita mwingine akamsuuze moyo.

Kutoa kupo Ila sio kuwa Ni kipaumbele.

Mie nikikitongoza ukanieleza zako hata nusu saa haijasha ndio kwa heri Mana najua sipendwi.anayependwa hombwi kitu Bali Ni dudu tu anaombwa kuwa leo uje kunikuna
 
Ndio utajua kwanini VIJANA WA KIUME NDIO HUBEBA MAONO wakati wale wa KIKE WANAOTA NA KUISHI KWENYE NDOTO ZAO.
Pambaneni kutimiza maono nasi tutimize ndoto zetu🤣🤣🤣

MATENDO YA MITUME 2:17
Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto.
 
Hii Ni kauli ya mwanamke ambaye hajamkubali mwanaume 100% TUSEME UKWELi.
Sema inatumika Kama kivuli ama kuficha mtu kujipatia mahitaji kisa Cha mahusiano.
Inakuwaje unaweza unampatia hela yako analipia hotel nzuri mno anamuita mwingine akamsuuze moyo.

Kutoa kupo Ila sio kuwa Ni kipaumbele.

Mie nikikitongoza ukanieleza zako hata nusu saa haijasha ndio kwa heri Mana najua sipendwi.anayependwa hombwi kitu Bali Ni dudu tu anaombwa kuwa leo uje kunikuna

Mwanaume anayeijua nafasi yake halalamiki wala kuumia, anafurahia jukumu la kumhudumia na kumtunza mwanamke wa maono yake

Ukija kukua utanielewa
 
Wabinafsi wale, hawana akili ya kuishi na wanawake. Wameingiza kuwa na care na protection ila hawana lolote.

Ukweli unabaki paleeeee - Ukitaka kuishi vizuri na mwanamke akakuona kama Mfalme unatakiwa kuwa na Akili na uwe na uwezo wa kumtunza pia.

Ukiwa na akili ukakosa uwezo wa kutunza familia unaonekana kama mwehu na utaachwa au kuibiwa tuu. Ukiwa na pesa ukakosa akili za moyoni mwanamke unayempenda atakuacha au atakusaliti
Naam, akili za moyoni + uwajibikaji kama baba katika familia. Bila kupevuka akili, uwezo wa kutatua changamoto unazidiwa
 
Mwanaume anayeijua nafasi yake halalamiki wala kuumia, anafurahia jukumu la kumhudumia na kumtunza mwanamke wa maono yake

Ukija kukua utanielewa
Nijibu na wale wanaochukua zile wanazohudumiwa wanawapelekea wengine wasio na kitu. Wanalipia mpaka chumba wakapeane Raha za dunia.
Sijakataa najua hata jogoo anatoa kitu .
Ila na wewe nijibu hapo inakuwaje.

Yule jamaa wa mwanza buswelu mkewe aliondoka akarudi kwa ex wake wakaenda kufurahia na huku home ana kila kitu. Missed call42 baadaye risasi Saba.

Pia uelewe jef Benzos pamoja na bill gate wameachana na wake zao so hapo shida Ni Nini na wao walishindwa kutoa huduma ama walikuwa bado hawajakuwa kufahamu majukumu yao
 
Mwend

Mwendo wa mwanamume na mwanamke latika uhusiano ni zaidi ya akili za kawaida za kibinadamu. Ndiyo maana siyo wote wanaoumaliza mwendo huu salama mpaka kufikia uzeeni ama kutenganishwa na kifo mkuu.
 
Kwa hiyo sasa conclusion iloyopatilana ni ipi? Mtoa mada hopefully umepitia comments zote hitimisha basi Tupate majibu.
 
Mimi nikiona imetuna tuna ndani ya nguo tu nachanganyikiwa. Ndio maana niliacha kwenda mazoezi. Nguo za mazoezi zinawachora sana maumbile yao.
Eeeh Hannah🙄🙄yaani ukaacha na kwenda gym kuepuka vishawishi🤣🤣🤣?kwa hiyo ulikuwa unasisimka tu?
 
Back
Top Bottom