Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?



Ukiwa na akili ukakosa uwezo wa kutunza familia unaonekana kama mwehu. Ukiwa na pesa ukakosa akili za moyoni mwanamke unayempenda atakuchacha au atakusaliti

1 PETRO 3:7
"Kadhalika ninyi waume, KAENI NA WAKE ZENU KWA AKILI; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.
 
Kama namuona Masanja na Nick wa Saimon.
 
Sasa kama hivyo vitu anavyo ? , Unavyosema mwanamke mpe uhakika wa maisha unakosea, unakuwa umejumuisha wanawake wote, Ushauri wako huu ni kwa wanawake wa Tanzania, jukumu la kumpa uhakika wa maisha mwanamke ni jukumu la mzazi wake, waAfrika tunge lijua ili watoto wetu wasinge teseka.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Akina mama hamjambo tu kujua mafungu yanayowatetea,
Iyo kuitunza familia nalewa,hata mke wangu Kama anafanya kazi hawezi ungua juani Bora nifanye kazi hata kama ni saa 24 nisilale Ila yeye asipate shida mno
 
Mwend

Mwendo wa mwanamume na mwanamke latika uhusiano ni zaidi ya akili za kawaida za kibinadamu. Ndiyo maana siyo wote wanaoumaliza mwendo huu salama mpaka kufikia uzeeni ama kutenganishwa na kifo mkuu.
Umeongea Jambo la maana mno ambalo huwezi eleweka kwa jicho ama ubongo wa nyama tu,yaani Ni ngumu mtu kukuelewa Ila Bora wewe umehitimisha hitimisho zuri
 

Upendo ni kutoa
Kama ulimuona ukaona awe wako kipo unachopokea toka kwake, na wewe toa bila kulalamika.

Vinginevyo mwache kwa wazazi wake waliojitoa kwake tangu kuzaliwa
 
Akina mama hamjambo tu kujua mafungu yanayowatetea,
Iyo kuitunza familia nalewa,hata mke wangu Kama anafanya kazi hawezi ungua juani Bora nifanye kazi hata kama ni saa 24 nisilale Ila yeye asipate shida mno
Hatujitetei ila ndio muongozo
Barikiwa kwa kubeba majukumu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…