Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta
Your browser is not able to display this video.
Kwa vijana wetu wa kiume wajue tuu kwamba kazi ndio maisha na heshma ya mwanaume
Kwa vijana wetu wa kike watambue mahusiano mazuri na ndoa yanajengwa na uwezo wa kubeba majukumu sio uwezo wa kula bata
Kwa wanawake wenye bahati ya kupata wanaume hawa watafutaji; waombeeni na watunzeni, ukimtesa au usipomuelewa huyo ataishia kupata msongo wa mawazo na kufa halafu kupata mwingine sahau!
Ahsante Sana
Nakazia hapo kwa wanaume..Mungu azidi kuwapigania wanaume wa Aina hiyo..awatangulie kwenye kila hatua zao .. awabariki kila watokapo majumbani na kurudi kwenye kutafuta riziki..nasi wanawake tujipongeze pia.. hallelujah!!!
Pasaka njema kwapo pia mama ake na D

Ili uweke kula bata maana yake una jishughulisha na kitu ambacho kinakuingizia kipato cha maana...hivyo basi huwezi kuwa unakula bata kila muda unless wee ni retired man ulishamaliza mihangaiko sasa ni mavuno tuu....na hawa ndio wanaume ambao kila mwanamke anawataka