Mwanamke huwezi pata mwanaume anayekupa mahitaji yote muhimu; na mwanaume huyohuyo aweze kula bata, kujiselfisha na kujipostisha na wewe kila wakati

Mwanamke huwezi pata mwanaume anayekupa mahitaji yote muhimu; na mwanaume huyohuyo aweze kula bata, kujiselfisha na kujipostisha na wewe kila wakati

Ili uweke kula bata maana yake una jishughulisha na kitu ambacho kinakuingizia kipato cha maana...hivyo basi huwezi kuwa unakula bata kila muda unless wee ni retired man ulishamaliza mihangaiko sasa ni mavuno tuu....na hawa ndio wanaume ambao kila mwanamke anawataka

Kuna wanaume wanaokula bata, selfie za kutosha, umri mdogo, majukumu hawana....... wewe huwajui
 
Hata Kama ni Uhuru wanawake nyinyi ni vigeugeu mod msiupin huu uzi wakibadilika mtapata kazi tena ya kuupinua..😂
Mnamano matamu ngoja muanze kutupiga na vitu vizito kichwani sasa..🤣

Pale unapopewa mambo mazuri na mume lazima maneno yawe matamu
Usiogope KENZY, kikubwa fanyeni kazi
 
"Kwa wanawake wenye bahati ya kupata wanaume hawa watafutaji; waombeeni na watunzeni, ukimtesa au usipomuelewa huyo ataishia kupata msongo wa mawazo na kufa halafu kupata mwingine sahau! "

Ushauri wa hekima na busara sana

Ubarikiwe sana
 
Babe, naona umeamua kuniandika na uzi kabisa....😋
Asante mwali, na bwana Yesu atutunze pamoja na watoto wetu

Wacha tuu nikuandikie uzi maana duniani mko wachache mno
Yesu aendelee kukutunza kwa afya na amani ya moyo wako
 
Ukiwa bize,unagongewa hovyohovyo na wanaotaka kulelewa,wanawake wengi hadi aje afikiri kama mtoa mada,ujue kasjafanya ujingaujinga mwingi,akakaa alajitafakari,akaona nimefanya ujinga vya kutosha,ngoja nitulie,tena unaweza ukakuta katulia kwa muda,akikumbukia anarudia japo si kama zamani.Dunia ngumu sana.
 
Umejitahidi kuwaza lakini ulichowakilisha hapo ni ujinga wa wewe mwenyewe na maisha yako
Mawazo kama yako yanatolewaga na wale wavulana ambao walioa au kuingia kwenye mahusiano bila kujitambua wala kujua maana ya mahusiano na majukumu yake.

Kazi kwako kujitafakari jinsi ya kutafuta mafanikio na kutunza mke na familia au endelea kumchunga uliyemchagua na kuwa mbeba mapochi ya mkeo ukifikiri ndio kumtuliza.... hadi utakapokujashtuka kumekucha🤣🤣🤣🤣

Nakuongezea na ushauri wa baba wa kiroho

Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta

View attachment 2191526

Kwa vijana wetu wa kiume wajue tuu kwamba kazi ndio maisha na heshma ya mwanaume

Kwa vijana wetu wa kike watambue mahusiano mazuri na ndoa yanajengwa na uwezo wa kubeba majukumu sio uwezo wa kula bata

Kwa wanawake wenye bahati ya kupata wanaume hawa watafutaji; waombeeni na watunzeni, ukimtesa au usipomuelewa huyo ataishia kupata msongo wa mawazo na kufa halafu kupata mwingine sahau!

Pasaka njema
Kama mke nimepata
 
Inabidi tukupe heshima yako kwa kukuandika wewe na hili chapisho.lako.katika historia ya nchi kwa faida yetu sisi vijana wa kiume na kike

Back
Top Bottom