Ili uweke kula bata maana yake una jishughulisha na kitu ambacho kinakuingizia kipato cha maana...hivyo basi huwezi kuwa unakula bata kila muda unless wee ni retired man ulishamaliza mihangaiko sasa ni mavuno tuu....na hawa ndio wanaume ambao kila mwanamke anawataka
Hata Kama ni Uhuru wanawake nyinyi ni vigeugeu mod msiupin huu uzi wakibadilika mtapata kazi tena ya kuupinua..😂Si ndio uhuru wa mawazo huo KENZY?
Waupinue mkuu..😀[emoji23][emoji23] waufanyaje...?
Eeh na wanawake kwani hamuwapendi hao....sasa sii bora ule bata kabla majukumu hayajakuandamaKuna wanaume wanaokula bata, selfie za kutosha, umri mdogo, majukumu hawana....... wewe huwajui
Hata Kama ni Uhuru wanawake nyinyi ni vigeugeu mod msiupin huu uzi wakibadilika mtapata kazi tena ya kuupinua..😂
Mnamano matamu ngoja muanze kutupiga na vitu vizito kichwani sasa..🤣
Kazi tutafanya ila mod wasiupin huu uzi..😎😂Pale unapopewa mambo mazuri na mume lazima maneno yawe matamu
Usiogope KENZY, kikubwa fanyeni kazi
Halafu uache kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupi..😎Basi sawa
Sorry ni chupa usini attack..😂Ukoje huo mgongo wa chupi🤔
Ukiwa bize,unagongewa hovyohovyo na wanaotaka kulelewa,wanawake wengi hadi aje afikiri kama mtoa mada,ujue kasjafanya ujingaujinga mwingi,akakaa alajitafakari,akaona nimefanya ujinga vya kutosha,ngoja nitulie,tena unaweza ukakuta katulia kwa muda,akikumbukia anarudia japo si kama zamani.Dunia ngumu sana.
Kama mke nimepataHeshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta
View attachment 2191526
Kwa vijana wetu wa kiume wajue tuu kwamba kazi ndio maisha na heshma ya mwanaume
Kwa vijana wetu wa kike watambue mahusiano mazuri na ndoa yanajengwa na uwezo wa kubeba majukumu sio uwezo wa kula bata
Kwa wanawake wenye bahati ya kupata wanaume hawa watafutaji; waombeeni na watunzeni, ukimtesa au usipomuelewa huyo ataishia kupata msongo wa mawazo na kufa halafu kupata mwingine sahau!
Pasaka njema
Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta
View attachment 2191526
Kwa vijana wetu wa kiume wajue tuu kwamba kazi ndio maisha na heshma ya mwanaume
Kwa vijana wetu wa kike watambue mahusiano mazuri na ndoa yanajengwa na uwezo wa kubeba majukumu sio uwezo wa kula bata
Kwa wanawake wenye bahati ya kupata wanaume hawa watafutaji; waombeeni na watunzeni, ukimtesa au usipomuelewa huyo ataishia kupata msongo wa mawazo na kufa halafu kupata mwingine sahau!
Pasaka njema