whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
kuna wale wanawake wanataka wanaume wenye pesa nyingi, halafu hawajui nimezichumaje na mke wangu, hawajui nimepitia wapi, hawajui kama ni mume wa mtu, hawajui nina umri gani, wanachojua ni kutaka mwanaume mwenye pesa nyingi. Matokeo yake wanajikuta washajilengesha mimba kwa papara zao bila kujua ameingilia ndoa ya mtu na kinachofuatia ni usingo maza, na kuolewa kwa single maza ni mtihani.Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta
View attachment 2191526
Kwa vijana wetu wa kiume wajue tuu kwamba kazi ndio maisha na heshma ya mwanaume
Kwa vijana wetu wa kike watambue mahusiano mazuri na ndoa yanajengwa na uwezo wa kubeba majukumu sio uwezo wa kula bata
Kwa wanawake wenye bahati ya kupata wanaume hawa watafutaji; waombeeni na watunzeni, ukimtesa au usipomuelewa huyo ataishia kupata msongo wa mawazo na kufa halafu kupata mwingine sahau!
Pasaka njema
Kizazi hiko cha watoaji na watunzaji kinazidi kupotea, kitakuja kizazi kinchokuzwa huko mashuleni kinacho amini katika 50/50,chenye mawazo ya usawa.Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta
View attachment 2191526
Kwa vijana wetu wa kiume wajue tuu kwamba kazi ndio maisha na heshma ya mwanaume
Kwa vijana wetu wa kike watambue mahusiano mazuri na ndoa yanajengwa na uwezo wa kubeba majukumu sio uwezo wa kula bata
Kwa wanawake wenye bahati ya kupata wanaume hawa watafutaji; waombeeni na watunzeni, ukimtesa au usipomuelewa huyo ataishia kupata msongo wa mawazo na kufa halafu kupata mwingine sahau!
Pasaka njema
kuna wale wanawake wanataka wanaume wenye pesa nyingi, halafu hawajui nimezichumaje na mke wangu, hawajui nimepitia wapi, hawajui kama ni mume wa mtu, hawajui nina umri gani, wanachojua ni kutaka mwanaume mwenye pesa nyingi. Matokeo yake wanajikuta washajilengesha mimba kwa papara zao bila kujua ameingilia ndoa ya mtu na kinachofuatia ni usingo maza, na kuolewa kwa single maza ni mtihani.
Tena uwaambie, nami nawaambia watoto wa kike asilimia kubwa ya maisha ni step by step, tafuta kijana mwenzako muanze kuyajenga toka chini kwa ushirikiano bila kukata tamaa alafu muone mtavokuja kutoboa maana Mungu naye huweka baraka zake. Sio muishie kutamani pesa zetu wanaume matajiri ambao hata hamjui historia za maisha yetu, matokeo yake mnajikuta mmeishia pabaya.
Una majibu mazuri walahi. Km upo really hivi km usemavyo mzee baba kabahatisha mpo wachache saana kwa huu uso wa dunia.Mwamba huna haja ya kulalamikia issue ya wanawake sababu wewe ndio mwenye maamuzi kwamba uwe na mwanamke gani au uoe lini na uoe mwanamke wa aina gani.
Sasa kama kwenye hayo maamuzi ndio unapoamua kuoa hivyo unavyolalamikia basi hangaika navyo kimyakimya
Vinginevyo badilisha vigezo vyako unapotafuta mwanamke😅😅😅😅
Sahii KABISA,Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta
View attachment 2191526
Kwa vijana wetu wa kiume wajue tuu kwamba kazi ndio maisha na heshma ya mwanaume
Kwa vijana wetu wa kike watambue mahusiano mazuri na ndoa yanajengwa na uwezo wa kubeba majukumu sio uwezo wa kula bata
Kwa wanawake wenye bahati ya kupata wanaume hawa watafutaji; waombeeni na watunzeni, ukimtesa au usipomuelewa huyo ataishia kupata msongo wa mawazo na kufa halafu kupata mwingine sahau!
Pasaka njema
Umeongea fact tupu,,kiukweli wanaume wengi tunaishi na wanawake ambao hawajitambui.unakuta ww unaumiza kichwa kupata pesa ya mahitaj na ada za watoto yeye Mara akuambie nipeleke kwenye bendi weekend na Mambo mengne yasiyo na tija kwa kipindi hiki Cha kubana kwa uchumi.unatoka kutafuta unarudi umechoka hata mtu kukukaribisha vzr hakuna Yuko bze mtandaoni,...Kuna wakati unatamani ukapange mtaan huenda utapata amani moyoni.mungu atusaidie
Hii mada imebidi tu nami niseme Jambo
nina wife
sasa siku moja mpango wa kando ukaomba kwenda saluni
nikakubali,
nikauliza how much?
akasema Elfu 60 plus mafuta Elfu 40
nakasema alright
wacha niende Lunch home
then
You will have it nikirudi!
Kufika home
nimemaliza kula
wife anaomba aende saluni
nikakubali,
nikauliza how much?
akaomba Elfu 5 tu ya kuosha nywele!
Aisee nilijisikia vibaya sana
nafsi ikanisuta!
Nikampa wife Elfu 40 ya saluni
Na
KUANZIA DAKIKA HIYO YULE MPANGO WA KANDO UKAWA MWISHO WETU HADI LEO!
Guys tuwapende wake zetu!
Kizazi hiko cha watoaji na watunzaji kinazidi kupotea, kitakuja kizazi kinchokuzwa huko mashuleni kinacho amini katika 50/50,chenye mawazo ya usawa.
Naomba Mungu nimpate wangu, sala zako zinahitajika mama DWapo na mnapishana nao kila siku ila sasa hawana yale mambo ya mwilini mnayoyathamini
Ila wana mambo mazuri sana ndani ya mioyo yao
Miaka ijayo tukiwa tukiwa tuna wasimulia watoto wetu wanaeza hisi huongo, mfano labda wewe unamwambia binti yako "baba yako alikuwa ananitoa out, alikuwa ananinulia hiki na hiki...." au baba ".....mama yenu kala sana hela yangu nimemtoa out, nime mnunulia 1,2,3......",kwao itakuwa tofauti kabisa.Tupambane sana kulea watoto wetu maana tukishapoteza ile thamani ya mwanaume kwenye jamii tumekwisha
Miaka ijayo tukiwa tukiwa tuna wasimulia watoto wetu wanaeza hisi huongo, mfano labda wewe unamwambia binti yako "baba yako alikuwa ananitoa out, alikuwa ananinulia hiki na hiki...." au baba ".....mama yenu kala sana hela yangu nimemtoa out, nime mnunulia 1,2,3......",kwao itakuwa tofauti kabisa.
Watoto wanaweza wakashangaa sababu katika ulimwengu wao wanaume wa kuwatuza watakuwa hamna kwani wengi wana amini katika 50/50 na usawa.