Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Zaidi ya kisa cha Salma Mtambo, mengine ya huu uzi wenu yameniwacha hoi, najuta kuyasoma, nashukuru kuwa sijayaelewa mengi na sina haja ya kuyaelewa. Mimi interest yangu ni kwa Bi Salma tu. Unachokielewa kuhusu yeye nifahamishe kwa sababu tunajuwana sana.

Kuhusu huyo kijana pia ntauliza kama ni yule mjukuu wake mtoto wa Mariam au ndiyo kilikuwa ki benten chake. Chochote kinawezekana.
 
Umemaliza kila kitu ambacho huwa nasema kila siku.
Uko well informed 👏🏽👏🏽
 
Aisee haya mambo magumu sana kinachosikitisha sana kwa sasa wanaume wengi wapo kwenye ndoa/mahusiano na wanawake lakini pia ni michicha
Wanawake tunapitia wakati mgumu sana, Mungu atusaidie!

Wewe fikiria tu yule mke wa askari wa zenji ana hali gani kwa ndugu na marafiki na mtaani anakoishi?
Ni zaidi ya fedheha!
 
Vyema, upatapo uhakika kama ni mjukuu wake au siye tafadhali tufahamishe.
 
Huyo Dr. Kessy Kuna hospital hapo kariakoo Ila mazingira yanaonyesha Kama hakuna huduma.
 
Nyemo yupo kwenye posters za anta sports niliona posters zake sarit centres nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…