Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Zaidi ya kisa cha Salma Mtambo, mengine ya huu uzi wenu yameniwacha hoi, najuta kuyasoma, nashukuru kuwa sijayaelewa mengi na sina haja ya kuyaelewa. Mimi interest yangu ni kwa Bi Salma tu. Unachokielewa kuhusu yeye nifahamishe kwa sababu tunajuwana sana.

Kuhusu huyo kijana pia ntauliza kama ni yule mjukuu wake mtoto wa Mariam au ndiyo kilikuwa ki benten chake. Chochote kinawezekana.
 
Nyemo ni brand ambassador na creative director wa GSM lakini pia ana vijana wake wanapiga issue za advertising na marketing. Na hata hizo safari ashasema kuwa kuna baadhi huwa anaenda kama influencer

Yawezekana Dimpoz akasemwa kwa mengi ila kwa kazi zake tu nilizozitaja bila muziki, bado ana uwezo wa kuishi fresh tu mkuu
Umemaliza kila kitu ambacho huwa nasema kila siku.
Uko well informed 👏🏽👏🏽
 
Aisee haya mambo magumu sana kinachosikitisha sana kwa sasa wanaume wengi wapo kwenye ndoa/mahusiano na wanawake lakini pia ni michicha
Wanawake tunapitia wakati mgumu sana, Mungu atusaidie!

Wewe fikiria tu yule mke wa askari wa zenji ana hali gani kwa ndugu na marafiki na mtaani anakoishi?
Ni zaidi ya fedheha!
 
Zaidi ya kisa cha Salma Mtambo, mengine ya huu uzi wenu yameniwacha hoi, najuta kuyasoma, nashukuru kuwa sijayaelewa mengi na sina haja ya kuyaelewa. Mimi interest yangu ni kwa Bi Salma tu. Unachokielewa kuhusu yeye nifahamishe kwa sababu tunajuwana sana.

Kuhusu huyo kijana pia ntauliza kama ni yule mjukuu wake mtoto wa Mariam au ndiyo kilikuwa ki benten chake. Chochote kinawezekana.
Vyema, upatapo uhakika kama ni mjukuu wake au siye tafadhali tufahamishe.
 
Mara ya mwisho nilikuja Tanzania akanialika kwake, alikuwa kahama Kariakoo anakaa Upanga njia ya kwenda Muhimbili, nyumba za msajili, sijui siku hizi mnaita National Housing, zilizokuwa za wahindi zamani, nyumba nzuri tu ilikuwa/ Hiyo miaka mimgi sana nyuma.

Huyo kijana watu wanamzulia tu, ni mjukuu wake mtoto wa Mariam huyo, nilikiona kilivyokuwa kidogo pale Upanga.

Haya nambie Salma yuko wapi sasa, ndiyo ana kesi au kafungwa, masikini rafiki yangu. Habari nzito hii kwangu.

Namfahamu yeye namfahamu nadhani ndugu yake yule au babake mdogo, sina uhakika, anaitwa Dr. Kesi Mtambo, alikuwa Daktari wa Nyerere enzi hizo akawa ndiye daktari pekee wa acupuncture Tanzania nzima enzi hizo, alipelekwa China kusomea., sijui bado yu hai maana alikuwa mtu mzima.

Pia namfahamu ndugu yake anaitwa Mboni, nadhani cousin wake huyu, aliokuwa Air Tanzania ilipoanzishwa tu, nadhani aliwahi kuwepo East African Aurways, namfahamu pia mdogo wake anaitwa Mhando, alikuwa mtundu mtundu sana tunamtania "kumi na moja kasoro 25a'. Miguu yake ilivyokaa, sijui yuko wapi masikini ya Mungu, Kariakoo hakuna asiyemjuwa, nikipita kariakoo akiniona hata wapi huko, lazima aje, Ahhh sister wangu leo nimekuona umetokea kama nyota ya jaa, leo watanikoma mtaani, lazima nideke sana tu.

Nipe habari za ndugu yangu Salma na Mariam mwanawe.

Siamini kama Salma ni tapeli, nafahamu kuwa ni mwanamke jasiri na mchapa kazi. Huyo itakuwa katumiwa tu na wauza magari na madalali wa nyumba kwa umaarufu wake.

Mimi nakumbuka alikuwa dalali mzuri wa nyumba za msajili tu, ilikuwa ukitaka nyumba za msajili enzi hizo, ukimuona Salma ana connections zake msajili huko, hukosi nyumba.

Mwenyezi Mungu amsaihilishie na amtowe kwenye majanga, atakuwa ni mtu mzima sana sasa.
Huyo Dr. Kessy Kuna hospital hapo kariakoo Ila mazingira yanaonyesha Kama hakuna huduma.
 
Nyemo ni brand ambassador na creative director wa GSM lakini pia ana vijana wake wanapiga issue za advertising na marketing. Na hata hizo safari ashasema kuwa kuna baadhi huwa anaenda kama influencer

Yawezekana Dimpoz akasemwa kwa mengi ila kwa kazi zake tu nilizozitaja bila muziki, bado ana uwezo wa kuishi fresh tu mkuu
Nyemo yupo kwenye posters za anta sports niliona posters zake sarit centres nairobi
 
Back
Top Bottom