Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

KUNA CHIMBO VIP LA HUDUMA KWA MEMBA TU WADAU TULIKUA TUNAPISHANA NA MGANGA MIKUFU..
KIINGILIO UNALIPIA KADI MWAKA MZIMA MILIONI MOJA NA LAKI SITA...
UKITAKA KADI VIP MILIONI TATU..
AFU SERVICE UNALIPIA KUTOKANA NA CLASSIC YA WATOA HUDUMA KUANZIA LOCAL MPAKA WA KIMATAIFA...
WATOTO WOTE PISI KALI WA MJINI WAPO HUKO NA WASHUA WOTE WANAENDA KUFANYIWA MASAJI HUKO...
ILA KUNA PROTOCAL LAZIMA UFUATE ILI KULINDA PRIVATE ZA WAHUSIKA...
I MEAN WAUZAJI NA WANUNUZI....
SASA MGANGA MIKUFU TUMEGUMIANA SANA KULE ILA NDIO HIVYO KILA MTU ANAFUATA YANAYOMUHUSU...
HATA YULE MCHUNGA KONDOO WA KULE KAWE M.....
TUMEGUMIANA SANA HUKO KILA MMOJA AKIJISEVIA ODER YAKE..
WALE WAZEE WA VIP DELVERY WANANIELEWA 🤣🤣😋
Kwamba ndio maana jamaa bado yupo singo hadi leo kumbe ni mbwa mwitu aliyevaa vazi la kondoo
 
Nyemo yupo kwenye posters za anta sports niliona posters zake sarit centres nairobi
Jamaa yupo vizuri tu ila Tanzania hadi mtu alime mpunga au awe na duka la nguo ndio wanaona kama anaingiza pesa. Fikiria kuna marketing agencies Tanzania zinazotoa service anazotoa nyemo na hawana deal kama za GSM na bado wana_survive mjini, vipi kwa yeye anayesimamia communications zote za GSM na bado ni influencer wao ?

Nyemo anaingiza pesa nzuri tu
 
DUKA LIPO PALE VIJANA KINONDONI PEMBENI YA MUDY SOUND...
SHANGAZI ALIKUA HOT CAKE SEMA MGANGA MIKUFU ALIJUA KUCHEZA NA NDUMBA VIZURI KUWAZIDI WENZIE 🤣🤣🤣
KIGOSI HANA HAMU 🤣🤣🤣
Huwa napata mkanganyiko linalo kuja swala la existence of ndumba 😊😊😔😔

Ivi ndumba is real or a scam? Maoni yenu wadau
 
View attachment 2851623

Mafanikio ni mafanikio, haijalishi njia zilizotumika kuyafikia… mwisho yataitwa mafanikio bila kujali kama ni kwa njia halali au kupitia njia haramu.
Na daima mafanikio hutukuzwa, na waliofanikiwa hupewa heshima!

Muigizaji mkongwe, mfanyabiashara na mshereheshaji maarufu Mahsein Awadhi ‘Dr. Cheni’ yeye mafanikio yake yamepitia kwa mwanamke, ndio vijana huita mishangazi!

Si huwa wanasema mwanaume aliyefanikiwa nyuma yake kuna mwanamke? Ndivyo ilivyokuwa kwa Dr. Cheni… mwanamke aliyekuwa katika mafaniko yake sio mwanamke wa mchezo mchezo, ni mwanamke wa shoka kwelikweli!
Ukisikia mabalaa yake utabaki mdomo wazi, sio mwanamke, ni chuma!

NI SALMA MTAMBO!

View attachment 2851628
Bibie Salma Mtambo ni tapeli wa kupindukia. Akitapeli vijana kwa wazee, wanaume kwa wanawake.
Utapeli wa magari na kughushi nyaraka kwake ni jambo dogo na la kawaida kama kufumba na kufumbua macho!

Licha ya yote hayo, hakuna mkate mgumu mbele ya chai!
Bibie alikufa na kuoza kwa Dr. Cheni! Nini hakumpa Dr. Cheni? Mapenzi alimpa na mtaji wa biashara ya magari ambayo imemtajirisha sana Dr. Cheni alimpa yeye!
Kifedha na kwa kumpa baadhi ya magari yake mengi yaliyopatikana katika utapeli wake aanzie biashara hiyo.

Licha ya tofauti kubwa iliyokuwepo baina yao kiumri, haikuweza kuzuia mapenzi hayo mazito baina yao.
Kila mmoja akinufaika kwa namna yake, kimapenzi na kifedha!
Mapenzi yao yalikuwa mazito na yaliyojaa kufuru ya hela kutokana na utajiri wa kupindukia wa Salma!

ZA MWIZI AROBAINI…
Hakuna marefu yasiyo na ncha! Penzi la Dr. Cheni na ‘rich auntie’ Salma liliingia mdudu mara baada ya mfululizo wa kesi zilizomuandama Salma kutokana na ‘mission’ zake zilizomuweka mjini na kumpa heshima kubwa kutokana na ukwasi aliokuwa akiumiliki.

Ifahamike kwamba, utapeli wa Salma ulianzia miaka ya 90! Hivyo alikuwa na ‘Misala’ kibao!

Tamati ilifikia September 18 mwaka 2019 alipohukumiwa miaka 99 jela baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka 17 ikiwemo kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu!

SALMA ALIA GEREZANI!
Baada ya Salma kupewa hukumu hiyo Dr. Cheni alipotelea kusikojulikana na Salma! Hakuwahi kuonekana kokote wala kumtembelea gerezani!

Salma anaumia zaidi kwa kuona kijana aliyempenda kwa moyo wote na kumpa kila kitu ikiwemo kushiriki katika ujenzi wa jumba la kifahari la Dr. Cheni akimtelekeza wakati alipokumbwa na matatizo!

Lakini, kesi za Salma ni mbaya na ni hatari zaidi kwa mtu maarufu na sasa mfanyabiashara mkubwa kujihusisha nae moja kwa moja.
Pengine ndio maana Dr. Cheni ameamua ‘kula kona’.

Lakini, kama ilivyo ada ya muosha huoshwa na mshahara wa dhambi ni mauti… ndiyo yanayomsibu Salma!

Ni yuleyule ripota kutokea JF mwenye chanzo chake nyeti…

Nawatakia sikukuu njema ya Krismasi,

Nifah

Nimeambatanisha baadhi ya nyaraka za kesi zilizokuwa zikimkabili Salma Mtambo.

View attachment 2852178
View attachment 2852179

Na hii

View attachment 2852170
View attachment 2852171
Ukiingia CCM jitahidi sana usikiuke miiko.

alikiuka miiko huyu sister na hiyo ndio sababu kubwa.
 
Back
Top Bottom