Mwanamke jela maisha kwa kumbaka mtoto wa kiume

Aiseee apo dogo hongera yake aya mambo yapo aisee anamtumia dogo aezavyo ivi ajampa ndogo kweli
 
12 yrs ni mtoto. Anahesabika kama Hana akili ya kufanya maamuzi sahihi. Hivyo huyo mdada alitumia huo mwanya kumlaghai au kumrubuni. Jambo hili ni ubakaji !
 
Me napenda libolo kubwa kubwa sio kama ka huyo dogoo
Kwanza vhavijajua kutumia tuvitu tuvitu Mungu alivyowapati
Me wanaume naopendaga wawe kuanzia 35 ndo najiskia niko na ME
Sio unakaa na ka mtu unaanza kupigwa vizinga vya kijinga
Samahani dada nina swali, nyie wanawake mnachukuliaje wanaume ambao wamewazidi sana umri ila sio wababu, kuna binti nimevutiwa nae, ila nimemzidi Huyo binti miaka 15, binti ana miaka 20, mm nina miaka 35, nikimtongoza huyo binti, huyo binti hatoniona mm wa ajabu?

Maana tukikutana Huyo binti ananipa Shikamoo, je huyo binti hata akinikubalia hatakuwa amenipendea pesa kweli, maana nahisi ataniona mm mkubwa sana kwake Nakadori
 
Nimemshangaa kwa kweli wao wanabaka mpaka kuku lakini wanajiona wasafi inasikitisha.
Nyie mnabaka hadi chupa za soda, au matango tena haitoshi mnayafanyia ukatili wa kuyapasha moto kidogo. (kidding)
 
Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani Tanzania imebariki kifungo cha maisha jela alichohukumiwa mwanamke mkazi wa Morogoro mjini, Shani Suleiman (35) kwa kosa la kumbaka mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 12.
Ushahidi unaonyesha mwanamke huyo alikamatwa baada ya mama mzazi wa mtoto huyo, akiwa na rafiki yake, kuandaa mtego katika nyumba ya mwanamke huyo ambapo walirekodi tukio hilo kwa kutumia simu janja.

Hii ni baada ya mtoto kumweleza mama yake kuwa mama Shani, maarudu kama Mama Shafii amekuwa akimwambia amwingilie mara kwa mara na wakati mwingine kinyume cha maumbile na mchezo huo aliufanya kwa miaka mitatu hadi mwaka 2019.
 
Kila mtu Ana mtu wake anayempenda...me mdogo kwangu au aliyenipita kiduchu au tunayelingana big no.
Nataka watatua matatizo na sio waongeza matatizo
 
Angekuwa hasikii kusingekuwa na muendelezo kwa miaka mitatu. Tena inawezekana alikuwa anaenjoy chururu ya dogo kuliko chururu za wakubwa wenzie. Pambaf zake
Labda ni mashart ya mganga.
Mama mtu nzima kuridhishwa na kadudu ka miaka 11 asee hapana nakataa
 
Huyo mtoto alikuwa ameshabalehe? Alikuwa anasikia utamu? Alikuwa anapewa vijizawadi na huyo mama? Miaka 3 yote kwanini alikuwa hasemi? Alilazimishwa na kutishiwa asiseme?

Maswali ni mengi kuliko majibu! Lakini yeye ni mtoto tu hivyo mama huyo hukumu imempata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…