BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
mama mtu mzima ameshindwa kulipata jibaba limkune hadi anabaka.!Mahakama ya Rufani Tanzania imebariki kifungo cha maisha jela alichohukumiwa mwanamke mkazi wa Morogoro mjini, Shani Suleiman (35) kwa kosa la kumbaka mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 12.
Ushahidi unaonyesha mwanamke huyo alikamatwa baada ya mama mzazi wa mtoto huyo, akiwa na rafiki yake, kuandaa mtego katika nyumba ya mwanamke huyo ambapo walirekodi tukio hilo kwa kutumia simu janja.
Hii ni baada ya mtoto kumweleza mama yake kuwa mama Shani, maarudu kama Mama Shafii amekuwa akimwambia amwingilie mara kwa mara na wakati mwingine kinyume cha maumbile na mchezo huo aliufanya kwa miaka mitatu hadi mwaka 2019.
Chanzo: Mwananchi
Imagine..Dogo akikua atajilaumu kwa jinsi alivokua mjinga...hahaha
Swala si kuridhia swala ni umri, hapo unachosema ni sawa na kumuajiri mtoto wa umri huo, ambapo ni kinyume na Sheria, kaa tafakari chukua hatuaSiungi mkono ila naona kuna ukakasi.
Kubaka maana yake ni kumwingilia mtu kimwili bila ridhaa yake, siyo?
Kwa mwanaume Ili umwingilie mwanamke kimwili ni uwezo wako tu kusimamisha, hapo asili itaruhusu mwingiliano hata kama mwanamke hakuridhia.
Tuendelee taratibu
° Mwanamume akiamua anaweza kufanya mapenzi na mwanamke hata kama mwanamke huyo hakuridhia (ubakaji)
° Mwanamke yeyote kwa maamuzi yake hawezi kufanya mapenzi na mwanaume yeyote kwa namna yoyote kama mwanaume husika hakuridhia.
Maumbile ya asili hayamruhusu mwanaume kufanya mapenzi kwa kulazimishwa bila yeye kuridhia kwanza. It means dogo aliridhia kwanza ndio akafanya. Naona kama tafsiri ya ubakaji inakosa mashiko.
Vipi hii hatuwezi kuiita kwa jina lingie lakini sio mwanamke kabaka?
Lakini akipata ukimwi utakuja kutuomba ushauri!!Watoto wakiume wakibakwa huwa hawasemi kwakuwa na wao wanafurahia na hawaumii.
Mimi kuna mvulana wa shule ya msingi alikuwa ananiambia rafiki ya mama yake alimchukua hadi chumbani kwake akampa fedha ya kutosha akamvulia ngua na kijana akachangamkia mzigo.
Toka hapo akiona hana pesa anaenda na mchezo unaendelea.
Alinihadithia live kabisa kama rafiki yake.
Niliamua kuacha tu kwakuwa kijana alisema yeye pia anapenda na pesa anapata, za kumsaidia kutatua shida zake.
Pia sikutaka kumwingiza huyo dada kwanye vifungo vya jera hali ya kuwa
Kulikuwa hakuna uvunjifu wa amani kati yao.
Kwani hadi tendo litambulike kisheria kama ubakaji nini kinapaswa kuwa kimetokea? Navojua ubakaji unatokana na consent. Sasa bila consent, uume wa dogo ulisimama vp ili aweze kumla mama shafii?
Chini ya miaka 18 sheria inasema ni kubaka iwe umepata nae moaka kakubali ila tafsir ni kubaka mana umri hujafika ktk kuchanganua zur na bayaSiungi mkono ila naona kuna ukakasi.
Kubaka maana yake ni kumwingilia mtu kimwili bila ridhaa yake, siyo?
Kwa mwanaume Ili umwingilie mwanamke kimwili ni uwezo wako tu kusimamisha, hapo asili itaruhusu mwingiliano hata kama mwanamke hakuridhia.
Tuendelee taratibu
° Mwanamume akiamua anaweza kufanya mapenzi na mwanamke hata kama mwanamke huyo hakuridhia (ubakaji)
° Mwanamke yeyote kwa maamuzi yake hawezi kufanya mapenzi na mwanaume yeyote kwa namna yoyote kama mwanaume husika hakuridhia.
Maumbile ya asili hayamruhusu mwanaume kufanya mapenzi kwa kulazimishwa bila yeye kuridhia kwanza. It means dogo aliridhia kwanza ndio akafanya. Naona kama tafsiri ya ubakaji inakosa mashiko.
Vipi hii hatuwezi kuiita kwa jina lingie lakini sio mwanamke kabaka?
Wakaandaa mtego, wakarekodi na tukio. Vp ikiwa huyo mwanamke ni mgonjwaMahakama ya Rufani Tanzania imebariki kifungo cha maisha jela alichohukumiwa mwanamke mkazi wa Morogoro mjini, Shani Suleiman (35) kwa kosa la kumbaka mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 12...
kuna thread tayari humu tangu jana.DUNIA SIMAMA NISHUKE
Mahakama ya Rufani Tanzania imebariki kifungo cha maisha jela alichohukumiwa mwanamke mkazi wa Morogoro mjini, Shani Suleiman (35) kwa kosa la kumbaka mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 12...
Labda tunaweza kuita Ubakaji wa kisaikolojiaSiungi mkono ila naona kuna ukakasi.
Kubaka maana yake ni kumwingilia mtu kimwili bila ridhaa yake, siyo...
Kozi ya miaka mitatu si mchezoDogo angekuwa na 15 au 17 akili imekomaa asingechomoa
Kilichomponza mama Shafii ni umri wa dogoSiungi mkono ila naona kuna ukakasi.
Kubaka maana yake ni kumwingilia mtu kimwili bila ridhaa yake, siyo...