Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Stop searching mke mtarajiwa na wakusudi lako huwa anakujaga tu utajikuta tu huwezi kupingana na shauri hilo, ila wale wakutafuta aisehh huwa ni majanga nina mke mzuri mimi sikutafuta alijileta taratibu kabisa
Absolutely 💯
 
Sijui nani atatuongoza kwenye sala ya toba manake Razorblade nishamtoa uvulana wake

Aseee🤣
GtejJHDbcAEPlSR.jpeg
 
Sijui nani atatuongoza kwenye sala ya toba manake Razorblade nishamtoa uvulana wake
😂😂😂

Kuna siku nilikutana na mlevi mmoja akanisimamisha na kuanza kunipa neno, nikawa namuitikia haraka haraka ili aondoke maana nilikuwa na njaa nawahi home 😂

Alivyokuwa kaniganda ikabidi nimkimbie 😂

Kwa hichi kisa kifupi nathibitisha kwamba japo uvulana wangu umeenda na maji ila maombi yapo palepale 😂

Tufumbeni macho sasa ni muda wa maombi 🙏😂🙏
 
Back
Top Bottom