Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Imagine nilikua na date na kimdada nilipanga kukioa ila hakikuwa tiari kinadai mda bdo kina marengo kikamilishe.

Nilikivizia kila mwezi kwenye siku zake za hatari ili nikitundike mimba, iwe rahis kukioa. ila kilikua kijanja out kiligoma kabxa.

Cha kushangaza sasa kimeotewa na mwamba, amekijaza mimba na kuitelekeza.

Ndo nasubiri aje aniambie hapa, hiyo mimba ndo yale malengo yake ama
 
Husika na mada hapo juu, swali kwenu enyi wanaume, mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Hivi huwa mnajisikiaje kutudanganya na kutuharibia maisha, unakuta mwanaume anafanya juhudi zote kukutongoza unamkubali, una fall in love, anakwambia maneno mazuri, mna panga mipango mingi ya maisha ila ghafla kila kitu kinabadilika.

Unashangaa mbona mwenzangu kachange na hamtoi hata taarifa, ni kimya tu simu hazipokelewi meseji hazijibiwi, ukija kuchunguza kumbe ana mahusiano yake permanently💔 tena mwingine anaweza hata kukuacha na mimba kabisa na wala hajali.

Hivi, huwa mnafikiria mara mbili mnachokifanya? Just imagine dada yako au ndugu yako wa kike ndiyo anafanyiwa unyama kama huo, utajisikiaje eti, kumbukeni what goes around, comes around. Na baadae mwanaume kama huyu anakuja kupiga vita single mother 💔

Wanaume wa namna hii ndiyo mnaofanya baadhi ya wanawake tunakuwa wakatili.
Dah yaan umenikumbusha machungu dah,
 
Kosa ni lako la kuvua chupi kabla ya kuolewa.
 
Aliyekuchezea ni yule aliyekutoa bikra afu hajakuoa, waliofuata ni wote mmechezeana.
 
Back
Top Bottom