Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Husika na mada hapo juu, swali kwenu enyi wanaume, mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Hivi huwa mnajisikiaje kutudanganya na kutuharibia maisha, unakuta mwanaume anafanya juhudi zote kukutongoza unamkubali, una fall in love, anakwambia maneno mazuri, mna panga mipango mingi ya maisha ila ghafla kila kitu kinabadilika.


Unashangaa mbona mwenzangu kachange na hamtoi hata taarifa, ni kimya tu simu hazipokelewi meseji hazijibiwi, ukija kuchunguza kumbe ana mahusiano yake permanently💔 tena mwingine anaweza hata kukuacha na mimba kabisa na wala hajali.


Hivi, huwa mnafikiria mara mbili mnachokifanya? Just imagine dada yako au ndugu yako wa kike ndiyo anafanyiwa unyama kama huo, utajisikiaje eti, kumbukeni what goes around, comes around. Na baadae mwanaume kama huyu anakuja kupiga vita single mother 💔

Wanaume wa namna hii ndiyo mnaofanya baadhi ya wanawake tunakuwa wakatili.
Mwulize mama yako kwanini alikubali kuingiziwa rungu baada ya ndoa? Ndiyo maana ndoa yake imedumu. Sasa ukionjwa kila mahali huwezi kuridhika na mmoja
 
Kwenye machafuko, Vita, civil unrest, huwa kuna common story, ubakaji! Sasa, unajiuliza, nchi ipo vitani,mizinga inarindima, risasi, zinaruka kushoto kulia,wanaume wanawezaje kubaka katika Hari tete kama hiyo! Yaani, uuume unasimamaje kwenye hatari!
Pole Sana, Dada, Ila kwa sasa hv, huwezi,kuwalaumu wanawake peke yao,
Hata, wanawake, wameota mapembe, sharubu, ni majambazi, wa mapenzi, wakati mwingine zaidi ya, wanaume!
Unaweza ukaanzisha uhusiano Leo, mka kaa miaka kadhaa, mkafunga ndoa, mkapata watoto, kumbe kipindi chote hicho, hata kama ni miaka 10,baby mama amekuwa anamtunuku boyfriend wake wa chuo,ambaye pia ameoa, mkeo, analiwa, anafua, anapika, na anarudi home, tsbasamu kubwa, unashangaa mbona halalamiki sijampa tendo muda mrefu, kumbe daaaa!
Asilimia kubwa ya hawa wadada wa chuo ni visanga.. ukikosea ukaoa kisanga kimoja kaa ukijua unawaolea wahuni
 
Back
Top Bottom