Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Siyo wanawake wote tuna hiyo tabia ya kula vya watu
Hata wanaume sio wanaume wote. Tatizo lenu mnawapa nafasi fuckboy/playboy, waume za watu. Ila group la Church hamuwapi nafasi kabisa.

Halafu tatizo lenu kubwa mnaendekeza hela,hapa sasa ndipo mnapo nyooshwa sometimes mnageuzwa kuwa sex objects, kwani mapenzi huwaga haya feelings ndani yake, wewe umefuata hela mwenzako anakugeuza kama mali yake,ndipo unapokuwa abused kwenye tendo na nyie mnaona sawa,kwani jamaa anakutreat kama kifaa chake cha ngono, sababu anajua unapenda hela zake. Ndio maana siku hizi kuna mitindo ya ngono ya ajabu ajabu ,mnafanyishwa sababu ya kupenda ngono na ukikutana mwenye nia ya kukuoa na akakuona unapenda hiyo mitindo ,huishia kukupiga chini.
 
Hao group la church baadhi yao nao ni washenzi wanaojifichia kwenye kivuli cha wokovu
 
Anakuja ili anitumie kingono, mimi nakubali kwasababu najua ni mtu ana malengo na mapenzi ya dhati

Mtu anayekufanya uitwe mama ukiwa hujajiandaa na akakukimbia kukuachia jukumu lote amefanya ubaya kwasababu swala la malezi siyo swala jepesi kabisa, kuweni na huruma
Ila mtu akiwa ana malengo na wewe au akiwa na mipango ya kukuchezea, unataka kunambia ninyi wanawake huwa amjui wala kuona ishara?

Au ndio vile huwa mnasema ni bora kulia ukiwa na Mwanaume mwenye pesa katika Vogue kuliko kucheka kwa amani na furaha kwenye daladala/bajaji ukiwa na Mwanaume asiye na pesa?😂😂😂
 
Back
Top Bottom