Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Mwanaume hachezewi bhagosha!Kama Mimi mwenyewe Kuna binti aliniharibia uvulana wangu akanichezea na kuniacha
So ni kweli kabisa unayo yasema
Unachekeshaπ€π€Kama Mimi mwenyewe Kuna binti aliniharibia uvulana wangu akanichezea na kuniacha
So ni kweli kabisa unayo yasema
Mimi Kuna binti kaniharibia uvulana wangu π€£Mwanaume hachezewi bhagosha!
πUnachekeshaπ€π€
Absolutely π―Stop searching mke mtarajiwa na wakusudi lako huwa anakujaga tu utajikuta tu huwezi kupingana na shauri hilo, ila wale wakutafuta aisehh huwa ni majanga nina mke mzuri mimi sikutafuta alijileta taratibu kabisa
Wacha wee!! Em sema kwelii?Stop searching mke mtarajiwa na wakusudi lako huwa anakujaga tu utajikuta tu huwezi kupingana na shauri hilo, ila wale wakutafuta aisehh huwa ni majanga nina mke mzuri mimi sikutafuta alijileta taratibu kabisa
Kweli tena mimi wangu alijiletaga tu mkali balaa nitakuambia kwanini huwa inafanya kaziWacha wee!! Em sema kwelii?
Unajua ukiwa unatafuata unakua na specifocations nyingi nyingi so unajikuta hata wale ambao wangefaa kuwa mke kabisa utamruka kwa kuwa unakua na wa viwango fulani hivi huo ndiyo ukweli no lieWacha wee!! Em sema kwelii?
Mkuu na mtakatifu Razorblade wa Pyongyang umempigisha soju
Mkuu na mtakatifu Razorblade wa Pyongyang umempigisha soju
πππSijui nani atatuongoza kwenye sala ya toba manake Razorblade nishamtoa uvulana wake
Sio ukatili ni matumizi sahihi ya akiba', akiba' ikiisha na mimi naishiaHuo ni ukatili sana mkuu
ππππ hamnaga mwanamke wa hivi.
Mchuchu usinywe bhana
Hapana,ana like status zangu,naona dalili atanicheki πUlisharudiana naye huyo ππ
huyo lazima arudiππHapana,ana like status zangu,naona dalili atanicheki π