Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Tatizo upwiru huwa unatutoa akili za kufikiri.
 
Mkuu uko sahihi 100%. Mimi kuna mmoja anadai ananipenda hatari msg kila saa na video calls hadi anakera. Mzigo natafuna muda wowote. Ila cha kushangaza kanikopesha hela na riba 20%. Nimeshangaa na kuhitimisha kuwa wanawake wote kwa sasa wako kimaslahi tu. Kuna manzi mwingine town maarufu kiasi ana biashara zake ila nyuma ya pazia kuna mnene mmoja wa TRA cha kushangaza yule manzi nikitaka mzigo ni muda wowote ananipa. Sasa watu kama hawa wakipigwa matukio kuna dhambi gani?
 
Safi sana bora ulimwambia ukweli
 
Hii ipo dunia nzima , wanawake wanataka wanaume wenye pesa , wasio na pesa wanakataliwa mwisho wanakaza na kuzipata wewe unafikiri wataoa tena? Wakati wanajua kabisa wamependewa tu pesa?
Ila kuna sisi tunaokubali kuvumilia na bado tunaachwa
 
Tunakuja kuosha rungu ili kupima kama kweli wewe ni waifu material natukijua sio tunaondoka zetu ila ni lazima rungu lioshwe.

Pia Mwanaume akikupa mimba na kukuacha elewa kwamba kavutiwa na mayai yako ila siyo wewe au anataka akukomoe iwe ngumu kupata mwanaume mwingine na iwe rahisi kwake kula kiporo siku yeyote akimiss
 
Inasikitisha sana aisee
 
Wanawake ni wengi ila sio kila MWANAMKE anafaa kua mke,,, jitathimini ki tabia mwenendo ,mazungumzo kujali ,,,na akili Unaweza ukawa huna vigezo vya hilo jina unalojipa
Asante mkuu kwa ushauri wako
 
😂😂mwaga hayo masifa hapa hapa mkuu
Sawa kabisa ,ahsante kwa nafasi hii .
Mimi ni mfupi na pia mnene ,ninalo tumbo kubwa kiasi ila nipo katika clinic maalum ya kuuwa kitambi hichi .
Ni mzaramo kwa kabila ila sina mdomo wala maneno mengi ni mpole mithiri ya daktari Mpango.

Ni mwajiriwa wa jamhuri ya muungano wa Tanzania .

Nimeshafanya mengi kiasi kuwa sioni jipya kwenye mahusiano hivyo kwangu unakuja ili mimi na wewe tuuguzane majeraha ya huko vitani tulikotoka .

Nina usafiri wangu ambao utakuwa wangu ukinikubali ,ni corolla namba A ila nimebadili namba plate na kuweka jina la ukoo wangu ,ni corolla nzuri kuliko zote mkoa wa Mbeya ,ukihitaji nitakutumia na picha za mheshimiwa Homera tylipokutana akiwa anaistaajabia gari hii na kunipa heshima kuu kwa usafiri huu .

Nimejaaliwa vipaji vingi ikiwemo usuluhishi na uvumilivu wa maudhi yoyote .

Mshahara unajitosheleza kukutunza wewe na mimi ila side hustler zangu ni siasa .

Nimebshatika kugombea udiwani kata kwenye mabano ila ndiyo vile ubaguzi wa kabila la hiyo kata wamenitema ila usijari ,nina ndoto kubwa zaidi ya udiwani .

Ni mlevi ninayejipenda kwa kuzingatia unywaji wa pombe ya kienyeji ili niwe na afya bora hasa ,ulanzi ,mbege ,chimpumu na mnazi .

Nikipenda napenda kweli ila nikiacha naacha kweli ila kwako sidhani kama nitakuacha .

Itoshe kusema kwa leo niishie hapa maana ninazo sifa nyingi kiasi naogopa kuziweka zote hapa maana wadada wa hapa hawakawii kukuibia mme wako

Njoo pm sasa
 
Wengine tumetulia na bado tunapigwa matukio
 
Maneno haya si mageni😂😂😂🙌
 
Hivi anae takiwa aamue kubeba mimba au asibebe ni mwanaume au mwanamke? Nchi za wenzetu mwanamke anayo haki ya kutoa mimba hata kama ni mimba ya mumewe na wapo ndoani, mwenye maamuzi ya kubeba ni mwanamke na sio mwanaume.
Ikitokea ghafla imeingia bila kutarajia je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…