Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Bahati mbaya binti mwingine ana watoto wawili baba tofauti anauliza una mpango gani na Mimi.
Mwingine chuchu zimeshaanguka anakuambia sitaki unichezee.
Wewe mwenyewe ndiyo umeyachezea maisha yako sisi tunafanya mwendelezo tu.
Ungekataa kufanya tendo la ndoa kwa sharti mpaka uolewe kuna kijana alikushikia bunduki?.
Umepoteza bikra hapo subiri mwendelezo wa kuchezewa mpaka siku Mungu akikuonea huruma ndipo utaolewa au atakupumzisha mahali pema.