Jamani hawa watoto bikra watatoa wapi wakati dunia yaleo ni mapenzi mapenzi kila kona? Kwenye tv unakutana na zuchu na wenzake wanakwambia mwagia ndani, kwenye redio sasahvi kudiskasi ngono ndio kipindi kinanoga, shuleni waalimu nao ndio hawahawa yanyoa kiduku na vjana wa ovyo,,, mtoto ataponea wapi, akienda saluni analo, ukimtuma dukani kuna bodaboda, ukimfungia nyumbani kuna dada wa kazi au kaka wa kazi plus muvie za kileo,,, yaani kila kona ni nchalee,,,
Ukiacha hayo kuna ma blubendi, na energy drink na machakula mengi ya ovyo mtoto anakula mwili unawaka moto kama transfoma bila ya kupoozwa na dudu anaweza kuwakamoto au kuwa mwehu...
Kiujumla nipagumuuu