Mwanamke kama huna bikra na hujaolewa wewe ni chombo cha starehe. Acha kuulizauliza eehh una mpango gani na Mimi au unataka kunichezea?

Kwani bikra Huwa wanatolewa na nani? Mbona humu kama wanaume wote, hatujawahi kumtoa bikra msichana yoyote vile???
Au na shetani😁😁😁
 
Sahihi
Badala amlalamie aliyemtoa bikra na hajamwoa anataka kukupangia mkuta shimo
Atamlalamikiaje aliyembikiri, wakati juzi kulikuwa na mada humu kuwa wasichana walio wengi hubikiriwa na ndugu zao wa karibu, wakati ule wa mihemko ya balekhe, kaka, binamu ama mfanyakazi za ndani.

Ndiyo maana kuisaka bikira kwa msichana mwenye nayo ni sawa na kuisaka almasi ya Mwadui kwa mikono yako mikavu bila telescope.

Kila utayemgusa hana, mpaka mtu unajiuliza ni nani huyu mjanja namna hii mwenye ku time bikira za warembo kabla hata tongo tongo hazijawatoka machoni mwao?
 
Au baiskeli
 
Anayekumbukwa na kuthaminiwa ni yule anae weka wazi misimamo yake na kuiishi.. Mabinti semeni no sex kabla hujanioa na ishi hivyo akiondoka sio sahihi kama sahihi atabaki
Angalizo: ukiwa msimamo huo kuwa muwazi bikra ipo au haipo maana baada ya ndo jamaa akikuta bikra hamna alafu yeye ulimsubirisha kitakulamba
 
Kuna kijana kazini kaniambia katoa bikra 3 na mmoja wa Binti aliyembikiri namfahamu. Washaachana sasa.
Mimi sijawahi, nilitaka nimtoe mmoja lakini alinishinda vita . Nimelala naye ghetto mara mbili mpaka alfajiri lakini bilabila
 
Wanapenda sana shekeli halafu wanataka wazipate kwa kutumia sehemu za Siri
Hana nasaba nao?
 
Pwani gani unayoizungumzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…