Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Daaaaaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja waje waseme unakiba100Unakutana na 22yr old ukiingia hutambui kama umeingia. Tatizo matumizi yamekuwa makubwa mno.
Kiba100 sio dhambi mkuu, ni maumbile tu.Ngoja waje waseme unakiba100
Siwapumzishi hawa ombaombaKumekucha 😂😂😂
Walikuomba nini??Siwapumzishi hawa ombaomba
Atamlalamikiaje aliyembikiri, wakati juzi kulikuwa na mada humu kuwa wasichana walio wengi hubikiriwa na ndugu zao wa karibu, wakati ule wa mihemko ya balekhe, kaka, binamu ama mfanyakazi za ndani.Sahihi
Badala amlalamie aliyemtoa bikra na hajamwoa anataka kukupangia mkuta shimo
Au baiskeliAtamlalamikiaje aliyembikiri, wakati juzi kulikuwa na mada humu kuwa wasichana walio wengi hubikiriwa na ndugu zao wa karibu, wakati ule wa mihemko ya balekhe, kaka, binamu ama mfanyakazi za ndani.
Ndiyo maana kuisaka bikira kwa msichana mwenye nayo ni sawa na kuisaka almasi ya Mwadui kwa mikono yako mikavu bila telescope.
Kila utayemgusa hana, mpaka mtu unajiuliza ni nani huyu mjanja namna hii mwenye ku time bikira za warembo kabla hata tongo tongo hazijawatoka machoni mwao?
Babu wewe umehamia adi kwenye mkaja wa babu na bibi[emoji3][emoji3]Hata mzazi wa mtoto asiyebikra ni aibu kudaidai makorokoro meengi kwenye kikao cha mahari. Mtoto atunzwe na usichana wake ili angalau wakati wa kuolewa mzazi awe na bargaining power.
Anayekumbukwa na kuthaminiwa ni yule anae weka wazi misimamo yake na kuiishi.. Mabinti semeni no sex kabla hujanioa na ishi hivyo akiondoka sio sahihi kama sahihi atabakiHakuna kitu kama hicho, ni wapi mwanamke katoa msisitizo kwa mwanaume nioe ndo ule mbususu yangu mwanaume nae akakubali.
Eeeh kwa wanaume nyie hapana ni ngum sana wengi hua mnataka mtest mitambo Kwanza awe bikra asiwe bikra.
Alafu swala la wanaume kutaka kulaghaiwa na mwanamke sio kirahisi kama unavodhani.
Mwanamke akifika hatua ya kulaghai ujue huko nyuma kapitia maumivu ma msongo.
Kuna kijana kazini kaniambia katoa bikra 3 na mmoja wa Binti aliyembikiri namfahamu. Washaachana sasa.Atamlalamikiaje aliyembikiri, wakati juzi kulikuwa na mada humu kuwa wasichana walio wengi hubikiriwa na ndugu zao wa karibu, wakati ule wa mihemko ya balekhe, kaka, binamu ama mfanyakazi za ndani.
Ndiyo maana kuisaka bikira kwa msichana mwenye nayo ni sawa na kuisaka almasi ya Mwadui kwa mikono yako mikavu bila telescope.
Kila utayemgusa hana, mpaka mtu unajiuliza ni nani huyu mjanja namna hii mwenye ku time bikira za warembo kabla hata tongo tongo hazijawatoka machoni mwao?
Wanapenda sana shekeli halafu wanataka wazipate kwa kutumia sehemu za SiriWalikuomba nini??
Kuna kijana kazini kaniambia katoa bikra 3 na mmoja wa Binti aliyembikiri namfahamu. Washaachana sasa.
Mimi sijawahi, nilitaka nimtoe mmoja lakini alinishinda vita . Nimelala naye ghetto mara mbili mpaka alfajiri lakini bilabila
Hana nasaba nao?Wanapenda sana shekeli halafu wanataka wazipate kwa kutumia sehemu za Siri
Kuna kijana kazini kaniambia katoa bikra 3 na mmoja wa Binti aliyembikiri namfahamu. Washaachana sasa.
Mimi sijawahi, nilitaka nimtoe mmoja lakini alinishinda vita . Nimelala naye ghetto mara mbili mpaka alfajiri lakini bilabila
Hana nasaba nao?Wanapenda sana shekeli halafu wanataka wazipate kwa kutumia sehemu za Siri
Pwani gani unayoizungumziaUna uhakika aliyekuzaa alikuwa bikira alipoolewa na baba yako? Acha matusi kwa maana hujui yaliyo nyuma ya ulikotokea. Tumia lugha ya staha......na utafikisha ujumbe wako vema kabisa.
Nina mifano ya wasichana ambao walikuwa na wapenzi wengi kabla ya kuolewa na waliolewa pamoja na kuwa muoaji alijua fika kuwa hyu alikuwa na wapenzi zaidi ya mmoja. Hivyo theory yako siyo kweli.
Hasa Pwani do not care about Ukayamba.../kuzaa nje ya ndoa ndiyo maana kuna kitu kinaitwa vyuo vya kuolewa......anasema usinitishe hiki ni chuo cha sita.......
coastal areas of Tanzania! Ziwa victoria haina pwani.... Am I right?Pwani gani unayoizungumzia