Mwanamke kama mwanaume hana hela, hana love

Sikubaliani na wewe hata kidogo, kuna raha yake kuanza chini pamoja hadi kufikia mafanikio , kwani ni wanaume wangapi wanapambana uko nje kwa ajili ya wake zao na familia ya mke na wakati huo wewe mwanamke upo tu nyumbani.....nashidwaje sasa kupambana kwa ajili ya mme wangu

Upendo - Uvumilia, hauhesabu mabaya, hauna ubinafsi n.k
 
Wisdom at the highest level 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Thank you 🙏🏽

 
Huyo mwanaume ni mjinga na mpumbavu kuwa na mwanamke Kama wewe
Wa kulaumiwa ni huyo mwanaume alikosea kuchagua
Ndiyo wale wanaume wanaoa tako badala ya mke
Utavuna ulichopanda
Wewe na wewe sijiu umetokea na wap maana badala ya kuja na hoja unatoka na matusi au kisu kimegonga kwenye mfupa?
 
Mdada mbona wanitukana, wewe kwa akili yako unafikiri nikileta mada hapa najiandikia mimi au? Umeona hali ya mtaani wanawake wanavyopata shida kutokana na wanaume wa siku hizi kuwa mizigo mizito kama zege?

Huu sio muda wa kuwaonea huruma wanaume tena.
 
Jamani wasimangeni tu wanaume, mtapigwa mimba na kutelekezwa Hadi akili ziwakae sawa. Mpaka mtakapo jifunza kuwaenzi na kuwaheshimu wanaume zenu hata kama hawana pesa
Mwanaume kama Hajui kutafuta hela huyo nae ataitwa mwanaume? Hiyo heshima ataipata wap sasa?
Muda wote mtu yupo Rojo Rojo tu
 
Sijawahi umizwa wala nazungumzia hali ya kawaida nayoina mitaani
 
Akili za wanaume Zina nini cha zaidi?
Umekosa Nilichokiandika au umekurupushwa
Duuuh...Hivi nyangulo ndio nini?tatizo huzijui akili za wanaume zikoje usingesema hayo yote..
[/QUOTE
 
Kwa hiyo hao wanawake wa mtaani ndo wamekutuma uje uwasemee huku!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…