Mwanamke kufukua makaburi bila sababu inatokana na nini?

Saingine mwanamke anaanza visa visa akiwa tayari ana mtu wa kumkuna nje huko so hataki umguse siku hio! Anakunyoosha tu na makelele kukutoa kwenye raiti traki!
[emoji23]
Ni kweli, ila manzi akuchepuka kuna vitu anavikosa, hatuwezi kua 100% sawa ila walau 80%---90% itasaidia kumfanya mwanamke kutuliza wenge
 
[emoji23]
Ni kweli, ila manzi akuchepuka kuna vitu anavikosa, hatuwezi kua 100% sawa ila walau 80%---90% itasaidia kumfanya mwanamke kutuliza wenge
Huwez satisfy mwanamke by 100% hata uwe na hela dunia nzima! Zitamfurahisha kwa muda tu japo wengi wanahisi ndio suluhu!

Mwanamke anapenda kitu flani kwa muda mchache kisha anakinahi😀 ukiwa na mfumo mmoja wa maisha naye anakuchoka
 
Huwez satisfy mwananke by 100% hata uwe na hela dunia nzima! Zitamfurahisha kwa muda tu
Ndio maana nikasema inabidi walau ufike kuanzia 80%--90%

Unajua hawa watu ni Kua tunawahitaji so hakuna namna isipokua Kua nao na kujitahidi kufanya asikuaibishe pia......maana akiwa bonywabonywa itakua aibu kwetu Kusikia mke wa fulani ni kufuli bovu, kila funguo inafungua [emoji23]
 
Maumivu ya kihisia ni mabaya sana heri physical pain unaweza ipatia tiba ila emotions pain yasikie tu, na kumpata mtu mwenye huruma na utu kwenye mapenzi sikuhizi ni nadra sana tu.
 
Maumivu ya kihisia ni mabaya sana heri physical pain unaweza ipatia tiba ila emotions pain yasikie tu, na kumpata mtu mwenye huruma na utu kwenye mapenzi sikuhizi ni nadra sana tu.
Kumpata sasa huyo mwenye huruma akakuelewa ndo interview job kama ya CNN. Ni ngumu sana kukuelewa. Yaan havisahaulikagi hata kama tumesamehe. Very hard. Nina imani kuputia hii thread atleast wamepata ABCD kidogo.

Torture a woman physically and she will go ro hospital.
Torture her emotionally and see how things worsen.
 
Eti si yaliisha!! Weee yanaishaje kwa mfano? Tutayafukunyua tu hata ipite miaka 1000.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe jau sana
 
Ni noma sana aisee
 
Kama yupo mbali basi huyo kamiss dyudyu tu...

Kuna wadada wakimiss dyudyu huwa wanajifanya kuanzisha tifu
 
Huwez satisfy mwanamke by 100% hata uwe na hela dunia nzima! Zitamfurahisha kwa muda tu japo wengi wanahisi ndio suluhu!

Mwanamke anapenda kitu flani kwa muda mchache kisha anakinahi[emoji3] ukiwa na mfumo mmoja wa maisha naye anakuchoka
Mwanamke anaweza kusema YES akamaanisha NO and its vice versa.

Is a dynamic person.
 
wao wanasema hawapendi [emoji2][emoji2][emoji2]
tatizo lingine mwanaume anakosa kujiamini juu yako, bado ana wanawake mia kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mim nilifumaniwa na wife nikiwa na dada wa kazi, yaani Nimemkunja chuma mboga napiga tako's zangu kiroho mbaya Sina hili wala lile.

Mara paaaah wife huyu hapa! alafu sasa, alijikausha kidogo akiangalia lile tukio. Sàsa kidume katika kuukamatia na kujipimia mzigo si ndo nikageuka? Laaa hawla, nakutana na wife Kawa mwekundu huku machozi yakibubujika.

Aisee ngoja niishie hapa [emoji26]
 
Kama movie [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hebu ilete mkuu
 
Kabisa
 
Hahaha we Mzee hivi SHARAUTI huwa ni salam au appreciation?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…