Mwanamke kumbuka yafuatayo unapotoka na mume wa mtu

Hivi humu ndani wanawake huwa hatuna jema hata moja tunalofawanyia? Maana ni kila siku wanawake this, wanawake that,

Inafikia pahala ukiona tu new thread unajua kabisa hapa ni wanawake tunasemwa..! While we know deep down we're being appreciated.!

Jaribuni kutusifia hata mara 1 1 basii, does it mean mnaishi na mashetani huko duniani kiasi kwamba hatuwatendi lililo jema japo moja tu?

Enwei, wanao date waume za watu wamekusikia na wataacha ila nawe pia uandike kwa paragraphs mkuu.!
Ongereni sana kwa kuwa michepuko yetu na ya baba zetu. Mnajitahidi sana kutupunguzia stress za ndoa
 
Hivi humu ndani wanawake huwa hatuna jema hata moja tunalofawanyia? Maana ni kila siku wanawake this, wanawake that,

Inafikia pahala ukiona tu new thread unajua kabisa hapa ni wanawake tunasemwa..! While we know deep down we're being appreciated.!

Jaribuni kutusifia hata mara 1 1 basii, does it mean mnaishi na mashetani huko duniani kiasi kwamba hatuwatendi lililo jema japo moja tu?

Enwei, wanao date waume za watu wamekusikia na wataacha ila nawe pia uandike kwa paragraphs mkuu.!
Mtoa uzi anawakumbusha tu sio kwamba anawasema so relax dada ila wanawake badilikeni wengi hawajielewi kabisa unamkuta mdada ameng'ang'ana na mme wa mtu badala atafute mume wake
 
Sawa mkuu, hata mimi nimemkumbusha tu kuwa watusifie sifie na mazuri yetu wakati mwingine.!!
 
Back
Top Bottom