Mwanamke kumbuka yafuatayo unapotoka na mume wa mtu

Mwanamke kumbuka yafuatayo unapotoka na mume wa mtu

Anakutumia sikuchache mwisho wa siku atarudi kwake tu
Au anakutumia asubuhi mchana lakini usiku lazima alale kwake

Cc Smart911
Wanabeba na mimba kabisa au anaisaka huko nakuja mbebesha, akishtuka anavyoruka sio yake, tayari single mother mwee jamani wanawake tuna shida!
 
Kama watapitia huu uzi utawasaidia,halafu ukumbuke atakuzibia usiwe na mtu mwingine zaidi yake,ukija kushtuka tayari una miaka 30...
30 mbona michache sana, tena wengine mpaka hutukana wake wa nyumbani wakizani wanalipamba penzi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha ukuda wewe mtoa mada! Ni nani aliyekutuma kuwasemea hao wanawake wanao date na sisi wanaume tuliooa. Acha watu waishi maisha yao, na wewe ishi ya kwako. 😔
 
Nikweli ila anafanyiwa kwa gharama kubwa mnoo..awe anaumwa au lah..jamaa akitaka mzigo apewe...apewe Tigo, apewe Blow job n.k

Kiuhalisia michepuko inafanyiwaga Ujinga ambao Jamaa hawez nahatokaa amfanyie mkewe

Ila huo ujinga unakuaga hauonekani.
Umeona eeh
 
Dada yangu kipindi utakapokubali kutoka kimapenzi na mume wa mtu, utakuwa umekubaliana kuwa mwanamke wa daraja la pili. Na siku zote mtu wa daraja la pili ni mtu wa daraja la chini ukilinganisha na daraja la kwanza.

Angalia sasa, kama yupo na wewe na mke wake akapiga simu atamdanganya mkewe kwamba yupo ofisini au katika kikao na hautakuwa na ujasiri wa kuingilia mawasiliano yake. Pia anapokuwa nyumbani kwake kwa mkewe huwezi kumpigia au hata kumtumia text.

Dada yangu wewe ni mdoli? Anakuchukua kwenu na gari yake anakupeleka katika vyumba vya hotel lakini mke wake amemkabidhi nyumba nzima. Dada yangu, shtuka. Anakutembelea nyumbani kwako na unamtambulisha kwa rafiki zako na majirani kwamba ni boyfriend wako bila kujua unajizibia nafasi za kupata mtu sahihi wa kuweza kujenga nae maisha. Na mbaya zaidi hupajui hata yeye anapoishi.

Dada yangu mpaka lini utaendelea kujiharibia future yako? Anatoka na wewe out na anakununulia kila aina ya pombe na wakati huo huo hawezi kumruhusu mkewe kunywa pombe ya aina yoyote ile. Akili ya kawaida ikwambie kwamba anafanya hivyo ili ulewe vilivyo na apate wasaa wa kukukandamiza vizuri kitandani.

Dada yangu, je mwili wako ni wa majaribio? Anakupa mimba na anakupa pesa uende ukaitoe lakini mke wake akipata mimba nyumbani ni sherehe na anampa pesa za kuandaa martenity dress na vitu vya mtoto. Dada yangu kumbuka tayari anayo familia yake, kama ulikua hujui jamaa huwaelezea marafiki zake yote mnayofanya hotelini, lakini hata siku moja hawezi kuwalezea yale anayofanya na mkewe.

Hii inafanya marafiki zake wakuone kama mwanamke wa hadhi ya chini kabisa. Unazo picha zake katika simu yako na umesave namba yake kwa majina mazuri kama sweetheart, my love, etc lakini picha zako haziwezi kupatikana katika simu yake na namba yako ameisave kama fundi jenereta, fundi gari, mzibua chemba. Unatakiwa ukumbuke kwamba mwanamke asiye na akili sehemu zake za siri ndizo zitakazoumia zaidi. Amka dada yangu unatumika.

We kweli plan zero! Unatuharibia ili uvune nini sasa!
 
Ofcoz sio wote.

Ila Mkuu nakuhakikishia ilo..asilimia kubwa kabisa ya Michepuko yaan ukishakua sehem ya Pili tu ...wengi wanaishia kugeuzwa chandimu.

Huwez kuta Mume, anamgeuza Chandim mkewe..ukikuta anamgeuza, ujue ni wale wa "Njoo tukae tu" hawana kinachowaunganisha nakila mmoja anajua kikinuka nikusepa.

Maujinga mengi mengi mwanaume yupo radhi kuyafanya kwa mwanamke wa Nje.. Alafu ndani anakua MTAKATIFU.

Pengine hayo unayoyaita maujinga angekua anafanya na mke wake asingekua ana haja kuwa na mchepuko ndio afanye nao.
 
Pengine hayo unayoyaita maujinga angekua anafanya na mke wake asingekua ana haja kuwa na mchepuko ndio afanye nao.
Sasa unawezaje fanya maujinga kwa mke, unayemuheshimu????.

Yaan mke wako umle tigo??. Maujinga wanafanyiwa michepuko aiseee
 
Sasa unawezaje fanya maujinga kwa mke, unayemuheshimu????.

Yaan mke wako umle tigo??. Maujinga wanafanyiwa michepuko aiseee
Hahahaahaa ndio maana ndoa hazikai. Kama unataka tigo si mzungumze na mkeo mjifunze? Huyo anaekupa huko si mwanamke pia, anawezaje kukupa tigo na mwanamke wako asiweze kukupa? Huu ndio uboya na ndio maana ndoa hazikai. Embu jiachie na mkeo kama una fantasies zako, who is better to discuss them and do them kama sio wife wako? Mmekariri maisha eti, mkeo ni wakufanya nae kifo cha mende tu? Mfyuuu kama tigo ni uchafu, wewe mwanaume unaefata tigo kwa mchepuko basi wewe ni mpenda uchafu. Eti unamuheshimu mkeo, kama unamuheshimu mbona unachepuka in the 1st place? Hamjielewi.
 
Nakuhakikishia jambo hili.

Hamna mwanaume alooa , mwenye utoto anayeweza kugeuza tigo kama hitaji lake la msingi na kwamantiki hiyo. Hawezi kumsumbua mkewe kipenzi kwa sababu hiyo

Ila kwakua kapatikana kidongo chekundu, kwann asijaribu?? Kwann asikule kile anachokisikia kinaliwa??? Ndio anakufanyia wewe uliye mchepuko lkn ndoani anatulia kulinda heshima yake ( ingawa anakosea kuchepuka).

Na utambue, mwanaume hachepuki sababu ya upendo, kupenda anampenda mkewe, ila anachepuka basi tu tamaa ya kiume n.k .

Chunguza sana, Wake wanaheshimiwa sana, na ndio sababu tunasema mke ni sumu... Mchepuko hawez kua sumu au kumpa wakat mgumu mwanaume.

Ndio maana mchepuko atageuzwa mtumwa wa ngono kwa aina zake.... Kila la mtandaoni litajaribishiwa kwake !! . NASIO KWA MKE.

Alafu niwambie ukweli,, wanaume wanapenda vyenye heshima .. Ndio maana hata kwenye mahusiano, mwanaume anaweza kukuoa tigo kabisaaaa ..lkn kwenye kuoa akakutupilia kusikojulikana.
 
Aliyekwambia tigo ni hitaji la msingi ni nani? Tigo ni nyama ya hamu na sio ya kila siku. Hizo tamaa za kiume kwanini hazitamani mkeo? Narudia tena kama unamuheshimu mkeo then huwezi chepuka, tamaa or no tamaa. Mnapick and choose when to respect your wives. If you respect her, then do everything with her. Hizo status za heshima kisa title ya Mrs and yet you have no respect for her sticking your dick in another woman's pussy. Dude, you have no idea what respect is.
 
Mkuuu ,narudia kukuambia , Tamaa za kiume KAMWE hazimfanyi mwanaume ajiondolee heshima kwa mkewe.

Mke atabaki kua mke na hesha zake atapewa.

Mchepuko atabaki kua mchepuko ye ataombwa Tigo+ atafanyishwa Blow job , nakila aina ya ujinga wa kingono atafanyiwa yeye.

Tena kwa Mwanaume alieoa na above 35+ , usitegemee amuombe Tigo mkewe.

Tigo ataombwa mchepuko ...mke anaheshima zake !!.

Kwa ufupi, ukiombwa tigo kwa haraka haraka Jua hupendwi na wewe ni kidongo chekundu..a.k.a uwanja wa majaribio!!!

Huhuhu Tigo ni nyama ya hamu na sio ya kila siku[emoji23][emoji23][emoji23]...

Wewe unatoa tigo mkuu??? ( kua muwazi tu humu hatujuani)
 
Wanawake wa kizazi hiki kuvuliwa chupi wengi wao ni kitu cha kawaida sana.
Sijui akili zao zinawaza nini, na hata walio-olewa hawatulii kweny ndoa zao pia.
Ni tatizooooo....
 
Wanawake wa kizazi hiki kuvuliwa chupi wengi wao ni kitu cha kawaida sana.
Sijui akili zao zinawaza nini, na hata walio-olewa hawatulii kweny ndoa zao pia.
Ni tatizooooo....
Labda wanabadilisha mboga
 
Back
Top Bottom