Mwanamke kumbuka yafuatayo unapotoka na mume wa mtu

Ongereni sana kwa kuwa michepuko yetu na ya baba zetu. Mnajitahidi sana kutupunguzia stress za ndoa
 
Mtoa uzi anawakumbusha tu sio kwamba anawasema so relax dada ila wanawake badilikeni wengi hawajielewi kabisa unamkuta mdada ameng'ang'ana na mme wa mtu badala atafute mume wake
 
Mkuu vipi wale wa imani ya mke wa pili, tatu na nne?
Hao hilo kwao halipo kabisa,tena uhuru unakuwepo. Naweza kupigiwa simu na mke mkubwa,nikamwambia kabisa mke mdogo,mwenzako anapiga simu ngoja nipokee kwanza,na mambo yanaenda kabisa.

Kuoa wake wengi kuna raha yake acha tue tu wake wengi.
 
Mtoa uzi anawakumbusha tu sio kwamba anawasema so relax dada ila wanawake badilikeni wengi hawajielewi kabisa unamkuta mdada ameng'ang'ana na mme wa mtu badala atafute mume wake
Sawa mkuu, hata mimi nimemkumbusha tu kuwa watusifie sifie na mazuri yetu wakati mwingine.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…