Mwanamke kunywa wine zaidi ya chupa moja ni uroho au kukomoana?

Kanisani siku hz kuna mchanganyiko wa kuku wa kenyeji na wa kisasa..siyo pure kama zamani
Ayo mengi ni makanisa ya kilokole ya manabii wa kisasa ambapo wadada Wengi wakiwa na ham ya kuolewa hukimbilia huko na kujifanya watakatifu Ingia makanisa yanayojulikama Tangu enzi na enzi na mwanamke anaelipenda na kulijua kanisa na ana hofu ya Mungu utamjua tu kuwa makini
 
Ntaku inbox
 
Mkuu hyi inaitwa changamoto,sio makange,nenda baa za tabata ndo utaikuta,makange nayajua,siyapend,changamoto ndo habar ya mjin sasa,ipo hata ya mbuzi,kitimoto etc.
haya mkuu
 
Sasa unashangaa nini wakati ndiyo staili ya maisha yetu.

Ukimtoa mtu anakomoa, yeye akiwa anajihudumia hakomoi hivyo ila tu kisa ni za mtu anaagiza asivuovijua.

Ulipaswa ushangae kama ungemtoa akapiga moja au nusu. Ndiyo ungejiuliza huyu kakulia wapi.
 
Noma sana
 

Bado Ana utoto
 
Nenda nae Water world, hapo ni free swimming 24/7, free entrance week days.
Siku ukija huku nistue ndio viwanja vyangu huko
 
Mbona ni kitu cha kawaida sana yan mbili tu unalalama duh,wengne hapo ndo kunakucha yan!
Ishu sio kulalama pesa,ila,tunashangaa mdada unakunywa wine kama unakunywa bia,chupa3,ushamba huo,wine hunywi kulewa,ni booster tuu,sasa midada ya kibongo ,halaf unakuta hyo wine sweet sasa,yaan linapenda utam,chupa3??google matumiz ya wine,kama unataka lewa kunywa bia au pombe kali
 


Mademu wa kibongo hao, wana issue sana. Ila una bahati kwani wakati mwingine ukiwaarika offer unakuta anaenda chooni kumpigia simu shosti yake aje kukutana nanyi ili wakukomoe. Mi niliwapigaga chini siku za mwanzoni tu, nikiona demu analeta shosti yake najifanya nakwenda kujisaidia, nalipa deni langu la awali kisha naingia mitini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahahahaa ila huu uzi acha niishie kucheka .... maana kuna vitu nakumbuka hapa !!!!! Ila mkuu huyu dada mstaarabu saana hapo hajanywa chechote acha kulalama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahahahaa ila huu uzi acha niishie kucheka .... maana kuna vitu nakumbuka hapa !!!!! Ila mkuu huyu dada mstaarabu saana hapo hajanywa chechote acha kulalama
Ww unakunywaga ngap
 
Yani unanichekesha sana,kwani umeshikiwa mtutu kuwa nae,maaana unavyolalamika kukerekwa aisee!!!Aya mapenzi mema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…