Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada anauliza "kwanini kuolewa ndio kumehesabika kuwa ni mafanikio makubwaa kuliko haya mengine kwenye maisha?""Umepata mnaependana na kuelewana,kwann msioane? Kwanin msiwekane ndani jaman...ila kama hamjapendana hapana kwa kweli..ndoa siyo dili
[emoji23][emoji23]au wakukuoa hayupoBinafsi kuolewa sijakupa kipaumbele sana kwenye maisha yangu.
Hiyo imani na iwe milele,Jamii yetu bado wanaona mwanamke ukiolewa umekuwa umegain kitu kikubwa tu
Kuna maisha halafu kuna maisha proper! Hayo ni mambo mawili tofauti.Kitu ambacho hujui ni kwamba wanawake wanaanza maisha baada ya kuolewa
Kwahio huoni umuhimu wa kuishi maisha ambayo ni proper? Nyie watu sijui mmeingiwa na kirusi gani sikuhizi!Jamii yetu bado wanaona mwanamke ukiolewa umekuwa umegain kitu kikubwa tu
Hapana, unaweza fanikiwa zaidi ukiwa pekeyakoMtoa nada anauliza "kwanini kuolewa ndio kumehesabika kuwa ni mafanikio makubwaa kuliko haya mengine kwenye maisha?""
#YNWA
Hahahah the problem is maisha ili yawe na maana ni vyema kuwa na familia! We both need that na ndio maana waliojaaliwa wanaoa na kuolewa! Its a natural thing kwamba itafikia wakati lazma mwanamke aolewe afanye familia yake na mumewe!Ni viherehere vya baadhi ya watu na kufuata mikumbo mfano juzijuzi hapa Jokate alipost akisheherekea kumaliza masomo yake na kupokea shahada yake ila baada tu ya kupost comment kama "hongera mh umepata cheti cha masomo bado endelea kupambana upate na cha ndoa " yani i was like ina maana hii elimu ya uongozi alioipata hawaoni umuhimu wake !!?
Kipaombele!!?mana elimu yaweza kukupa maarifa ya kupambania maisha yako pasipo hata iyo ndoa then i have come to realise kwamba watu wameshakumbwa na viherehere na kukalili maisha kwamba ndoa ndio priority ya kwanza[emoji58]
Hata pekeyake anaweza si lazima awe na mwenzaHahahah the problem is maisha ili yawe na maana ni vyema kuwa na familia! We both need that na ndio maana waliojaaliwa wanaoa na kuolewa! Its a natural thing kwamba itafikia wakati lazma mwanamke aolewe afanye familia yake na mumewe!
Ila kwa ma Sadist wengi na feminist ndio wanataka kulifanya hili kama vile sio muhimu na kuwaaminisha upuuzi ila deepdown mwanamke anayejielewa atataka awe na mume wake by any means!
Ndoa yenye furaha ni mafanikio pia, Ni heshima kuwa na ndoa ila si lazima.Hapana,unaweza fanikiwa zaidi ukiwa pekeyako
Sasa hiyo statistic utaipata wapi sa hii?Keywords "ndoa yenye furaha"! Tuwe tu wakweli leo hii ni ndoa ngapi zenye furaha?
Mfano nafasi ya kupewa papuchi kizembe unakuwa huipati! Ila ukiwa na mke unapewa sana sababu una element ya wadhifa, unalisha mtu ndani na kumpendezesha!Mwanaume ukiwa huna mke kuna nafasi kwenye jamii hupewi.
Jamii yetu bado wanaona mwanamke ukiolewa umekuwa umegain kitu kikubwa tu
Dah hili gumu sana kwa maisha ya leo, umejaribu kuzungumza na tabibu kuona kwanini hali hii inakupata! Unajua kuna kutopenda na kuna kutofurahia kitu! Can you make it clear hapo? Hupendi ama hufurahii? Do you have bad memories with it?Mfano kama mtu hapendi Ngono afanyeje
Una maana gani kusema hivi? Kwanini kusema/kuhisi kwamba ndoa nyingi hazina furaha,mzee wewe umeowa?Keywords "ndoa yenye furaha"! Tuwe tu wakweli leo hii ni ndoa ngapi zenye furaha?
Son, kuna wanaume wengine hawafai kuoa, hali kadhalika kuna wanawake wengine hawafai kuolewa.....in between any one can manage.Bado hujanishawishi
Im so sorry my frende, its going to suck but maybe ni disorder tu mi siamini kama kuna mtu hasisimuki na hisia za ngono! Yani katika maisha yako toka unavunja the so called ungo hukuwahi kusisimuka kufanya mapenzi na mtu au watu uliobahatika kukutana nao!Mie sipendi na sifurahii yaani kwangu siyo starehe kabisa! Nilionana na baadhi ya gynaecologists wakaniambia yawezekana ni hormones tu na hilo siyo tatizo kabisa maana duniani kuna watu wanaitwa asexuals watu wasiokuwa na sexual desires!
Kuoa au kuolewa sio mafanikio ktk maisha, bali ni jamii imejenga hizo fikira potofu na zinaathiri maisha ya watu Wengi sana, kwani wanatumia muda mwingi na rasilimali ktk eneo hilo. kama kijana kuanzia miaka 18 - 30 atatumia muda na rasilimali zaidi kwenye kuwekeza anakua na uchumi na Afya Nzuri zaidi, kwa umri kama huo ukitumia 10% ya muda wako na rasilimali ktk mahusiano na ndoa unakua na hasara Kubwa sana.Kwa nini mwanamke kuolewa inaonekana ni jambo muhimu, kipaumbele, heshima na mafanikio makubwa kuliko kupata PhD, kujenga nyumba yake, kumiliki biashara yake, kuwa boss wa kampuni kubwa n.k?
Mafanikio makubwa si yale ambayo mtu anayapata kupitia jitihada zake mwenyewe kuliko yale ya kupewa au kusubiria maamuzi ya mtu mwingine?
Kwa nini wanawake ambao wanaamini wanachelewa kuolewa huwa katika pressure kubwa sana ukilinganisha na wanaume?