Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

Umepata mnaependana na kuelewana,kwann msioane? Kwanin msiwekane ndani jaman...ila kama hamjapendana hapana kwa kweli..ndoa siyo dili
Mtoa mada anauliza "kwanini kuolewa ndio kumehesabika kuwa ni mafanikio makubwaa kuliko haya mengine kwenye maisha?""

#YNWA
 
Ni viherehere vya baadhi ya watu na kufuata mikumbo mfano juzijuzi hapa Jokate alipost akisheherekea kumaliza masomo yake na kupokea shahada yake ila baada tu ya kupost comment kama "hongera mh umepata cheti cha masomo bado endelea kupambana upate na cha ndoa " yani i was like ina maana hii elimu ya uongozi alioipata hawaoni umuhimu wake !!?

Kipaombele!!?mana elimu yaweza kukupa maarifa ya kupambania maisha yako pasipo hata iyo ndoa then i have come to realise kwamba watu wameshakumbwa na viherehere na kukalili maisha kwamba ndoa ndio priority ya kwanza[emoji58]
Hahahah the problem is maisha ili yawe na maana ni vyema kuwa na familia! We both need that na ndio maana waliojaaliwa wanaoa na kuolewa! Its a natural thing kwamba itafikia wakati lazma mwanamke aolewe afanye familia yake na mumewe!

Ila kwa ma Sadist wengi na feminist ndio wanataka kulifanya hili kama vile sio muhimu na kuwaaminisha upuuzi ila deepdown mwanamke anayejielewa atataka awe na mume wake by any means!
 
Hahahah the problem is maisha ili yawe na maana ni vyema kuwa na familia! We both need that na ndio maana waliojaaliwa wanaoa na kuolewa! Its a natural thing kwamba itafikia wakati lazma mwanamke aolewe afanye familia yake na mumewe!

Ila kwa ma Sadist wengi na feminist ndio wanataka kulifanya hili kama vile sio muhimu na kuwaaminisha upuuzi ila deepdown mwanamke anayejielewa atataka awe na mume wake by any means!
Hata pekeyake anaweza si lazima awe na mwenza
 
Mimi nachotaka kusema hapa enyi kinadada wekeni akiba ya maneno.

Wadada au sijui wamama (singo moms maana siku hizi mnazaa hata mkiwa 15) waliochangia hapa wengi wao huu uzi ni mkubwa kwao,bint ukiwa na miaka 22/26 fresh from university na miluzi mingi mtaani huwezi kuelewa wala kuzingatia kilichoandikwa hapa mpaka ufike 28 worst zaidi red light inaenda kuwaka ukiwa 33 kuitafuta 36 hapo hata mpiga debe huwa anatamaniwa,na hapa ndipo penye hatari kwa sababu unataka kuolewa (by force) utakutana na mwendawazimu anakupiga mimba anakugeuza single mama wewe tena lako limeisha.l

Hawa hawa wanaojitutumua hapa ndiyo wale wale watakorudi kwa IDs zao nyengine kutafuta wenza wa kuwaowa.
 
Mwanaume ukiwa huna mke kuna nafasi kwenye jamii hupewi.
Mfano nafasi ya kupewa papuchi kizembe unakuwa huipati! Ila ukiwa na mke unapewa sana sababu una element ya wadhifa, unalisha mtu ndani na kumpendezesha!
 
Jamii nzima na hata mama yake mzazi pia anaona mwanae hajakamilika bado hadi pale atakapopata familia kusoma, kupata mavyeo yote lakini kama huna familia nikimaanisha hata watoto pekee basi unakuwa hujakamilika. Ulishakaa ukajiuliza haya maisha tunayatafuta kwa ajili ya nani?
Jamii yetu bado wanaona mwanamke ukiolewa umekuwa umegain kitu kikubwa tu
 
Mie sipendi na sifurahii yaani kwangu siyo starehe kabisa! Nilionana na baadhi ya gynaecologists wakaniambia yawezekana ni hormones tu na hilo siyo tatizo kabisa maana duniani kuna watu wanaitwa asexuals watu wasiokuwa na sexual desires!
Im so sorry my frende, its going to suck but maybe ni disorder tu mi siamini kama kuna mtu hasisimuki na hisia za ngono! Yani katika maisha yako toka unavunja the so called ungo hukuwahi kusisimuka kufanya mapenzi na mtu au watu uliobahatika kukutana nao!

All i know kuna wanaume lazima walikuvutia in the sense of love na mambo yote aint that right?
 
Kwa nini mwanamke kuolewa inaonekana ni jambo muhimu, kipaumbele, heshima na mafanikio makubwa kuliko kupata PhD, kujenga nyumba yake, kumiliki biashara yake, kuwa boss wa kampuni kubwa n.k?

Mafanikio makubwa si yale ambayo mtu anayapata kupitia jitihada zake mwenyewe kuliko yale ya kupewa au kusubiria maamuzi ya mtu mwingine?

Kwa nini wanawake ambao wanaamini wanachelewa kuolewa huwa katika pressure kubwa sana ukilinganisha na wanaume?
Kuoa au kuolewa sio mafanikio ktk maisha, bali ni jamii imejenga hizo fikira potofu na zinaathiri maisha ya watu Wengi sana, kwani wanatumia muda mwingi na rasilimali ktk eneo hilo. kama kijana kuanzia miaka 18 - 30 atatumia muda na rasilimali zaidi kwenye kuwekeza anakua na uchumi na Afya Nzuri zaidi, kwa umri kama huo ukitumia 10% ya muda wako na rasilimali ktk mahusiano na ndoa unakua na hasara Kubwa sana.
 
Back
Top Bottom