KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,104
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ati nini? Kwa hiyo bado sijayaanza maisha eeeh[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ati nini? Kwa hiyo bado sijayaanza maisha eeeh[emoji848]
Kuna upande una ukweli ktk hii message yako, lakini ni ngumu sana kupata mwanamke mwenye upendo kwa mwanaume. Mwanaume kwa asilimia kubwa ndio mwenye upendo wa Kweli ktk hii dunia, kwa hio ni bora Kuwa na uchumi mzuri kwani unaweza kuajiri wafanyakazi au kupata familia ya hiariMaisha yana "fakes" nyingi sana kama pesa, mali, majumba, starehe.
Lakini kiuhalisia utakuja kugundua maisha yanahitaji LOVE ( UPENDO ), AMANI na FURAHA.
Ukiwa na mtu anayeweza:
- Kusimama na wewe katika nyakati ngumu,
- Kukutia moyo
- Kukupenda
Nakuhakikishia utahisi you have the world hata kama hujala siku 2
Ukitaka kujua hili, siku ukiwa very stressed au deppressed, hebu chukua simu yako mpigie mtu unayempenda, eithet awe:
- Mama
- Baba
- Mwanao
- Mpenzi
- Mjomba
- Rafiki
Utajihisi moyo unapoa tuliiii
Ndio maana hata wagonjwa, huko hospitalini akioneshwa upendo anakuwa poa mnooo.
Hii siri ya upendo, hamasa na matumaini inatumiwa sana na:
- Viongozi wa dini
- Motivational speakers
Hakuna jambo zuri kama kuambiwa Nakupenda, kutoka kwa mtu umpendae.
Ukiwa bado kijana, una nguvu mbwembwe zinakuwa nyingi. Ila itafikia stage hata kukaa mjini utaona kelele, hata ukiwa na majumba 600 utalala kwenye chumba kimoja. Na wakati huo utahitaji kuwa na mtu wa karibu siyo tena kampani za Bar na Night clubs.
Family! family! family! Is irreplaceable.
Vitu vingine kama midegree, sijui vyeo ni vitu artificial vya kutengeneza tu.
🤣🤣Mfano nafasi ya kupewa papuchi kizembe unakuwa huipati! Ila ukiwa na mke unapewa sana sababu una element ya wadhifa, unalisha mtu ndani na kumpendezesha!
Wazivunje wahusika.Ndoa nyingi hazina furaha! Simaanishi ndoa zisizo na changamoto ila kuna ndoa nyingi hazina tu furaha completely!
Lete ushahidi na wenye ndoa wakubaliane na ushahidi wako la sivyo! itakuwa ni nginjera za vijiwe vya wazaramo tu.Ndoa nyingi hazina furaha! Simaanishi ndoa zisizo na changamoto ila kuna ndoa nyingi hazina tu furaha completely!
Vidonge vya uzazi wa mpango ndivyo vinawasabisha hao Ke wawe hivyo na vyakula wanavyokula visivyo na virutubisho vya afya zaidi ya kujaza matumbo tu.Dah hili gumu sana kwa maisha ya leo, umejaribu kuzungumza na tabibu kuona kwanini hali hii inakupata! Unajua kuna kutopenda na kuna kutofurahia kitu! Can you make it clear hapo? Hupendi ama hufurahii? Do you have bad memories with it?
Huyo ni Ke wala si Me na ni miongoni mwa wale feminists waliokubuhu kama ugoko wa zee la miaka 75-100.Una maana gani kusema hivi? Kwanini kusema/kuhisi kwamba ndoa nyingi hazina furaha,mzee wewe umeowa?
Wawe na furaha.Halafu Wakishazivunja
Pamoja na hilo je unatoa papuchi?Wapo. Tupo.
They say kama wewe kitu haujawahi kukiona au kukisikia haimaanishi kwamba hakipo au hakijawahi kutokea! Binafsi silipendi hilo tendo na sijawahi kulichukulia kama starehe!
waziunganisheHalafu Wakishazivunja
Hiyo ni roho mbaya ya ubinafsi/umimi.Kuoa au kuolewa sio mafanikio ktk maisha, bali ni jamii imejenga hizo fikira potofu na zinaathiri maisha ya watu Wengi sana, kwani wanatumia muda mwingi na rasilimali ktk eneo hilo. kama kijana kuanzia miaka 18 - 30 atatumia muda na rasilimali zaidi kwenye kuwekeza anakua na uchumi na Afya Nzuri zaidi, kwa umri kama huo ukitumia 10% ya muda wako na rasilimali ktk mahusiano na ndoa unakua na hasara Kubwa sana.
Ebu achana na hizo stories za kusadikika.Wapo. Tupo.
They say kama wewe kitu haujawahi kukiona au kukisikia haimaanishi kwamba hakipo au hakijawahi kutokea! Binafsi silipendi hilo tendo na sijawahi kulichukulia kama starehe!
Pole sana, endelea kujiokotea hizo stories za huko unakozitoa ukiamini ndiyo uhalisia wa maisha kumbe no tango poriSiko hapa kumuaminisha mtu na wala sina haja ya kukuletea ushahidi wewe ili uamini kuwa kuna ndoa ambazo hazina furaha! Wewe kutokuamini au wewe kunenepa kwa sababu ndoa yako ina furaha haibadilishi ukweli kuwa kuna ndoa nyingi ambazo hazina furaha!
Wewe kutokuona au kutokusikia kitu haimaanishi kuwa hakipo au hakijawahi kutokea! Mimi na wengine wote tunaoziona na tunaozisikia hizo ndoa tunatosha kujua hilo bila kuthibitishiwa na mtu na ukweli hauhitaji ushahidi wala kuungwa mkono ili eti ndiyo uwe ukweli!
Njoo inbox uwekewe ushahidi ili ukitoka hapo unishukuru na uzidi kuniombea maisha marefu ili nizidi kuwaokoa wengine kwa elimu nitoayo bure.Haya na wewe unaweza ukatupa ushahidi kuwa wanawake wote wa hivyo wako hivyo kwa sababu ya hivyo vidonge na hivyo vyakula? Au umeamua tu kuandika kwa mihemko?
Mi nakuelewa kuliko we unavyojielewa, hivyo nakuomba unielewe tu kwa wema ya kuwa we ni nguli wa feminism hata kama kishingo upande Dada.Chief mbona unahemka? Unajua maana ya feminist bro?
Nina zaidi ya miaka mitatu sijui nini maana ya kuchepuka.Mkuu mie wala sijaja kuomba ushauri kuhusu hii hali yangu kwa sababu naifurahia au wewe unaumia mimi nikiwa hivi? Hata haya mashairi yako hayatanibadilisha chochote wewe ukiwa sex addict inatosha kabisa!
Halafu we na wewe unamjua Mungu? Ungekuwa unamjua Mungu usingekuwaga unachepuka kaka!
Hakuna mashindano ya wenye ndoa na wasio nazo. Suala ni maisha na furaha.Sasa waliofunga ndoa wakavunja na ambao hawajawahi kuwa kwenye ndoa wana Utofauti gani kwa wakati huo
Nilishafanya uchunguzi tangu 2011 na ni Ke wengi sana wamebadilika na kumshukuru kwa jinsi nilivyowaelimisha na kuwasaidia kurudi katika hali zao za kawaida kabla ya kuanza kutumia vidonge vya uzazi wa mpango na kuathirika kwa kutokujisikia hamu kimatamanio ya kujaamiana na kupata raha wakati wa tendo la ndoa.Swali ni umejuaje kama hizo ndiyo sababu kwa wanawake WOTE wenye hilo tatizo? Acha kurukaruka kama bisi!
Yani nisijue ilihali uasisi wenyewe ulikuwa pale China?Haukuwa na haja ya kujitambulisha maana tangu kitambo tu najua kuwa wewe ndiye strongest belief secret! Sasa sijui maelezo yote haya yalikuwa ya nini badala ya kujibu swali langu kuwa unajua maana ya feminist?