Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

hii inaapply to both of them
Sawa ila we need a proper kind of living! Kuishi proper sio uwezo wako wa kuingiza pesa tu! Kuna mafanikio ya aina tofauti! Economically and Socially!

Unaweza ukafanikiwa economically ila ukafeli socially. Huwezi ku attain proper life kwa kuishi nje ya bracket et sababu you can pay bills! Hii akili ndio imezalisha watoto wengi ambao ni useless..
 
do not judge
Siku judge ila nakueleza ukweli, wewe huoni wivu ukiona kuna wenzako wameolewa na wanalea watoto properly wakiwa na baba zao! They have men to guide them in everyday life katika mipango yao?
 
hii inaapply to both of them
Ofcourse hata mie nina mtoto wa kwanza ambaye sio wa mke! But i had made a decision kuwa nitaoa na kuzaa na kulea properly na mwanamke mmoja! Its the right thing to do regardless ya changamotor zote!
 
siwezi lazimisha mtu anioe ... by the way sijabahatka kupata wtt
Thats a special case najua lipo nje ya uwezo wako hilo! I cant put a blame on you zaidi ni kukuonea imani tu! Sorry for whats happening my dear!
 
Ofcourse hata mie nina mtoto wa kwanza ambaye sio wa mke! But i had made a decision kuwa nitaoa na kuzaa na kulea properly na mwanamke mmoja! Its the right thing to do regardless ya changamotor zote!
hapo upo sahih pia ni wanaume wachache wanakuwa na msimamo km wao... Hongera kwa hilo
 
Siku judge ila nakueleza ukweli, wewe huoni wivu ukiona kuna wenzako wameolewa na wanalea watoto properly wakiwa na baba zao! They have men to guide them in everyday life katika mipango yao?
mm ni mfano wa watoto ambaye baba ni mmoja ila mama tofauti...
 
ila namuomba Mungu anipe mwanaume huyohuyo ndo awe baba wa watoto wng
Atakupatia hitaji lako! Hilo wala usijali wangu. Utampata tena katika muda ambao hutarajii ishi katika misingi sahihi tu sababu kila kitu hutokea by chance!
 
mm ni mfano wa watoto ambaye baba ni mmoja ila mama tofauti...
Duh pole sana its really hard kwa mtoto wa kike sababu compe ni kubwa hapo! Hopefully mzee anacheza katika nafasi yake vizuri! Maana bila hivyo dah
 
Hahahah the problem is maisha ili yawe na maana ni vyema kuwa na familia! We both need that na ndio maana waliojaaliwa wanaoa na kuolewa! Its a natural thing kwamba itafikia wakati lazma mwanamke aolewe afanye familia yake na mumewe!

Ila kwa ma Sadist wengi na feminist ndio wanataka kulifanya hili kama vile sio muhimu na kuwaaminisha upuuzi ila deepdown mwanamke anayejielewa atataka awe na mume wake by any means!
Very true. Its only a matter of time..... Sio rahisi kumuelimisha mwanamke ambae amechagua kuwa mpumbavu na kufuata mambo ya dunia hii. Ni swala la muda unamuacha atajua muda ukifika.

By the way wanawake wanafanya kila kitu for the sake of attention...... Nani anampa attention mwanamke ambaye anazeeka......?!
Ask Jlo, harryberry, beyonce na wengineo waliokuwa wanapata attention kwa uzuri wao na wanapesa..... Ila wameitafuta ndoa....

Unakutana na kajinga kamoja sababu kana kazi ya kulipwa laki tano kanajiona kamepiga mileage kubwa sana kiuchumi na kauli za kipumbavu za i am independent, i don't need a man. Ngoja muda utaongea nae....
 
Hili halipingwi ila pia mwanamke kuzaa kama mbwa haipendezi [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu akishapata watoto hovyo anakuja kutembeza bakuli kiboya anahitaji wanaume wengine wasimamie show....
 
Very true. Its only a matter of time..... Sio rahisi kumuelimisha mwanamke ambae amechagua kuwa mpumbavu na kufuata mambo ya dunia hii. Ni swala la muda unamuacha atajua muda ukifika.

By the way wanawake wanafanya kila kitu for the sake of attention...... Nani anampa attention mwanamke ambaye anazeeka......?!
Ask Jlo, harryberry, beyonce na wengineo waliokuwa wanapata attention kwa uzuri wao na wanapesa..... Ila wameitafuta ndoa....

Unakutana na kajinga kamoja sababu kana kazi ya kulipwa laki tano kanajiona kamepiga mileage kubwa sana kiuchumi na kauli za kipumbavu za i am independent, i don't need a man. Ngoja muda utaongea nae....
I can pay my own bills ila akianza kuelekea jioni ataanza kumuwinda hata mchoma mahindi stendi 😂😂😂 na kujidai ana mapenzi mazito!
 
Back
Top Bottom