Love bug
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 219
- 215
Kuzaa kama panya na wanaume tofauti tofauti kwako ni proper kuliko kuzaa na mume ambaye mnajenga a proper family structuusipen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuzaa kama panya na wanaume tofauti tofauti kwako ni proper kuliko kuzaa na mume ambaye mnajenga a proper family structuusipen
Sawa ila we need a proper kind of living! Kuishi proper sio uwezo wako wa kuingiza pesa tu! Kuna mafanikio ya aina tofauti! Economically and Socially!hii inaapply to both of them
Siku judge ila nakueleza ukweli, wewe huoni wivu ukiona kuna wenzako wameolewa na wanalea watoto properly wakiwa na baba zao! They have men to guide them in everyday life katika mipango yao?do not judge
Ofcourse hata mie nina mtoto wa kwanza ambaye sio wa mke! But i had made a decision kuwa nitaoa na kuzaa na kulea properly na mwanamke mmoja! Its the right thing to do regardless ya changamotor zote!hii inaapply to both of them
siwezi lazimisha mtu anioe ... by the way sijabahatka kupata wttSiku judge ila nakueleza ukweli, wewe huoni wivu ukiona kuna wenzako wameolewa na wanalea watoto properly wakiwa na baba zao! They have men to guide them in everyday life katika mipango yao?
Thats a special case najua lipo nje ya uwezo wako hilo! I cant put a blame on you zaidi ni kukuonea imani tu! Sorry for whats happening my dear!siwezi lazimisha mtu anioe ... by the way sijabahatka kupata wtt
hapo upo sahih pia ni wanaume wachache wanakuwa na msimamo km wao... Hongera kwa hiloOfcourse hata mie nina mtoto wa kwanza ambaye sio wa mke! But i had made a decision kuwa nitaoa na kuzaa na kulea properly na mwanamke mmoja! Its the right thing to do regardless ya changamotor zote!
Yeah asante sanahapo upo sahih pia ni wanaume wachache wanakuwa na msimamo km wao... Hongera kwa hilo
ila namuomba Mungu anipe mwanaume huyohuyo ndo awe baba wa watoto wngThats a special case najua lipo nje ya uwezo wako hilo! I cant put a blame on you zaidi ni kukuonea imani tu! Sorry for whats happening my dear!
mm ni mfano wa watoto ambaye baba ni mmoja ila mama tofauti...Siku judge ila nakueleza ukweli, wewe huoni wivu ukiona kuna wenzako wameolewa na wanalea watoto properly wakiwa na baba zao! They have men to guide them in everyday life katika mipango yao?
Atakupatia hitaji lako! Hilo wala usijali wangu. Utampata tena katika muda ambao hutarajii ishi katika misingi sahihi tu sababu kila kitu hutokea by chance!ila namuomba Mungu anipe mwanaume huyohuyo ndo awe baba wa watoto wng
Duh pole sana its really hard kwa mtoto wa kike sababu compe ni kubwa hapo! Hopefully mzee anacheza katika nafasi yake vizuri! Maana bila hivyo dahmm ni mfano wa watoto ambaye baba ni mmoja ila mama tofauti...
Ni Kumtegemea Mungu pekeeDuh pole sana its really hard kwa mtoto wa kike sababu compe ni kubwa hapo! Hopefully mzee anacheza katika nafasi yake vizuri! Maana bila hivyo dah
Ni Kumtegemea Mungu pekee
ThanxsDuh pole sana its really hard kwa mtoto wa kike sababu compe ni kubwa hapo! Hopefully mzee anacheza katika nafasi yake vizuri! Maana bila hivyo dah
Define kufanikiwa...... Only people from broken homes see success in material things....Hapana, unaweza fanikiwa zaidi ukiwa pekeyako
Very true. Its only a matter of time..... Sio rahisi kumuelimisha mwanamke ambae amechagua kuwa mpumbavu na kufuata mambo ya dunia hii. Ni swala la muda unamuacha atajua muda ukifika.Hahahah the problem is maisha ili yawe na maana ni vyema kuwa na familia! We both need that na ndio maana waliojaaliwa wanaoa na kuolewa! Its a natural thing kwamba itafikia wakati lazma mwanamke aolewe afanye familia yake na mumewe!
Ila kwa ma Sadist wengi na feminist ndio wanataka kulifanya hili kama vile sio muhimu na kuwaaminisha upuuzi ila deepdown mwanamke anayejielewa atataka awe na mume wake by any means!
Halafu akishapata watoto hovyo anakuja kutembeza bakuli kiboya anahitaji wanaume wengine wasimamie show....Hili halipingwi ila pia mwanamke kuzaa kama mbwa haipendezi [emoji23][emoji23][emoji23]
I can pay my own bills ila akianza kuelekea jioni ataanza kumuwinda hata mchoma mahindi stendi 😂😂😂 na kujidai ana mapenzi mazito!Very true. Its only a matter of time..... Sio rahisi kumuelimisha mwanamke ambae amechagua kuwa mpumbavu na kufuata mambo ya dunia hii. Ni swala la muda unamuacha atajua muda ukifika.
By the way wanawake wanafanya kila kitu for the sake of attention...... Nani anampa attention mwanamke ambaye anazeeka......?!
Ask Jlo, harryberry, beyonce na wengineo waliokuwa wanapata attention kwa uzuri wao na wanapesa..... Ila wameitafuta ndoa....
Unakutana na kajinga kamoja sababu kana kazi ya kulipwa laki tano kanajiona kamepiga mileage kubwa sana kiuchumi na kauli za kipumbavu za i am independent, i don't need a man. Ngoja muda utaongea nae....
True kabisa. Hili mimi lilishanikuta.... Ni kweli kabisa. Kuna watu ushauri hawatakuja kukuomba kabisa.Mwanaume ukiwa huna mke kuna nafasi kwenye jamii hupewi.