Mwanamke kupata mimba pasipo ridhaa ya mwanaume liwe kosa la jinai

Naunga mkono hoja aisee wanatuonea sana afu Amna kitu kibaya kama kuzaa au kuishi na mwanamke usiempenda
 
utampendaa mbele ya safarii maana uchi si ulikuwa mtamuu ukaenjoy haya pambanaa 😀 😀
 
Back
Top Bottom