Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

Asakute mie mzima wa afya.... na nafurahi kukuona baada ya mda mrefu....

Nimekupata na nimependa maelezo yako.... Ila tu naomba nikuarifu kua kuna watu wamekutana na kutongozana mitandaoni na later wakajuana vema na kuweza kua wapenzi na hata wengine kuoana... What do you say about hawa?
nashukurunkujua upo poa!

yeah! it happened and it work for others kwakweli ila thts very unusual for some pia inluding me(labda nitaanza na ww mtandaoni km normal person ila nia lna dhumuni ni after contact ya ana kwa ana)......... Ila siku hizi ile seriousness ya mitongozi imepungua sana ,s'tm unaweza kuwa in a relationship bila hiyo mitongozano just actions zinaongea sasa sijui hili litafanikiwa vipi mtandaoni.....(reason; tatizo la mtandaoni ni km itakulazimu kufunguka na most of the time itakuwa kama unajilipua vile na the chance is 50/50 )
 
Pale kwenye umri sina hakika, I find women older than me attractive!

suala sio wao kuwa attractive!ndio wana mvuto,wanajiona bado wamo lakini sisi wanaume tunaziona decades za kutosha kwenye nyuso na hata miili yao!teh!teh!teh!
 
A DECENT WOMAN-kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anampenda msichana mmoja!rafiki yangu akaniambia..."nampenda sana flani,tatizo najiona mimi ni mchafu sana kuwa na mwanamke decent kama yeye!" so wakati mwingine mwanamke ukiwa "malaika" sana,wanaume "mashetani" wengi wanaweza wakakuogopa ukabaki hutongozwi
 
Unaona sasa, watu wote washanijua jina langu ni Natasha, na nilikuwa la 4 mwaka 1994.
Siri zote hadharani.

Nakuharibia kwenye kimbwa unachouza.
Hii ni name calling ya wazi kabisa! we report abuse tu, anachapwa viboko 24... 12 siku ya kupigwa Ban, zingine anajua mwenyewe. lolest
As for the dog, naenda kufunga ile thread, nimesha mnunua.
 
Ngoja nikamreport abuzi.

Yule mbwa huwezi kuwa umemnunua, Mwali alikata rufaa mahakama ya Rufaa, anataka tenda iwe peke yake.
'She will skin you alive.'

Hii ni name calling ya wazi kabisa! we report abuse tu, anachapwa viboko 24... 12 siku ya kupigwa Ban, zingine anajua mwenyewe. lolest
As for the dog, naenda kufunga ile thread, nimesha mnunua.
 
A DECENT WOMAN-kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anampenda msichana mmoja!rafiki yangu akaniambia..."nampenda sana flani,tatizo najiona mimi ni mchafu sana kuwa na mwanamke decent kama yeye!" so wakati mwingine mwanamke ukiwa "malaika" sana,wanaume "mashetani" wengi wanaweza wakakuogopa ukabaki hutongozwi

nakubaliana na wewe mkuu ,tena this is very true km siku zote huyo mwanaume ni mtu mkweli kwenye mambo haya ya r/ship......(mfano;unaanza kuzoeana na mtu tu hlf unagundua nia yake towards th r/ship ni marriage na you are not kind of man muda huo looking for marriage,,,,,,SI NI BORA USIMTONGOZE AU MSIIENDE MBALI KUEPUKA KUMUUMIZA MDADA WA WATU)....NI KWELI HILI PIA HUCHANGIA KUTOKUTONGOZA/KUTONGOZWA.
 
LIZZY TYPE WOMEN!!! humu kuna member mmoja anaitwa Lizzy,ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja zake!huyu dada kama ktk dunia ya kweli yupo hivyo ili umtongoze na kumpata inabidi ujipange kwelikweli uende na madesa na makabrasha kama mwakyembe ana-present ripoti ya richmond!ya nini yote hayo wakati kuna wanawake kibao!?so Lizzy type wanaume wanakuchunia na maisha yanasonga mbele!
 
Ngoja nikamreport abuzi.

Yule mbwa huwezi kuwa umemnunua, Mwali alikata rufaa mahakama ya Rufaa, anataka tenda iwe peke yake.
'She will skin you alive.'
EMT achague basi, Mwali (ambae hata hatujui kama anaruhusiwa kua na mbwa sasa hivi) au Super Mod (akumbuke kua amesha piga name calling hapa, and I am ready to close my eyes on it if he is 'nice' to me)
 
Hakyanani hapa Ashadii mimi sina mchango manake hizi kesi bana ziko very unique na za kimaajabu. Mfano mimi washkaji zangu enzi izooo walikuwa wanasema wao kutongoza mwanamke mjuba never, na nimeshuhudia jamii sana inasema mwanamke mjuba hatongozeki wala hatongozwi, Lakini bana mimi hakuna kitu naenjoy kama kutongoza mdada mjuba.

Yaani napenda ile nimwambie "mdada umeumbika" halaf yeye ajibu kijuba "ndo umejua leo?" au unamwambia "vipi nikusindikize?" yeye anakwambia "utajijuu, umeskia maandamano ya chadema aya?"
Hakyanani vile vimajibu vinanipa mzuka sana na hawa wadada wana siri flani lakini sitoisimulia leo.



Kweli Lawyer sikuwezi! lol.... Dah! You have made my day....
 
Gurta THANK YOU... But hata hivo hio ya age ni relative term... Kwa sisi wanawake ambao tuko 50... Do you find us attractive?


I know a lady who is over fifty and very attractive. In fact she knows how to keep herself attractive every day.
 
Mkuu huyo mbona wa kawaida sana!! sasa ukioneshwa mambo haya si ndio utapagawa kabisa!!
View attachment 49714


Hapa imeonesha ODM anavutiwa na weupe Matola na weusi... Interesting.... lol

Alter vipi tena? Kuna mtu hatongozwi out there? Mi nachukulia poa tu mbona? Na miaka yote hii niendelee kutegemea kua nitatongozwa tongozwa tena?


Alter sio kwamba nakwazika ama kukosa raha kuto tongozwa.... No. Ila tu ni on benefit ya wale ambao hukosa raha.... lol. If you know what I mean.... hahaha.... Missed u.
 
nakubaliana na wewe mkuu ,tena this is very true km siku zote huyo mwanaume ni mtu mkweli kwenye mambo haya ya r/ship......(mfano;unaanza kuzoeana na mtu tu hlf unagundua nia yake towards th r/ship ni marriage na you are not kind of man muda huo looking for marriage,,,,,,SI NI BORA USIMTONGOZE AU MSIIENDE MBALI KUEPUKA KUMUUMIZA MDADA WA WATU)....NI KWELI HILI PIA HUCHANGIA KUTOKUTONGOZA/KUTONGOZWA.

pamoja mkuu!kifupi nilitaka kuonyesha kutokutongozwa kunaweza pia kukachangiwa na vitu positive alivyonavyo mwanamke!nimetoa reason nyingine ya pili!icheki hapo juu!
 
naweza kusema nimeielewa sana thread....!na pia hata kama nikitoa sababu zitakuwa ni repititive...!

natumia fursa hii kuwashukuru woootee kabisa kuanzia mrusha bandiko ashadii hapo juu mpaka mtu wa mwisho naisoma post yake,post nr 224 ndugu russian roulette...!

labda ushauri tu kidogo kwa wakina dada....!

swala la kutongozwa linaweza kuwa muhimu kwenu ''kwa wakati fulani katika umri zenu''...lakin amini usiamini kuna maisha

mazuri mno zaidi ya hilo la kutongozwa na mahitaji yake ya kimwili....!nasema hivyo kwa kuwa tu kumekuwa na imani

kwamba ukitongozwa utaolewa,au manake we ni mzuri sana machoni pa anayekutongoza...(labda).lakin mi nawathibitishia

kwamba ukitongozwa LABDA PENGINE UTAOLEWA....!au mara zote Utatumika tu...!au pia unatongozwa sana na mfululizo

kwa kuwa tu wewe ni ''easy going woman''...!very cheap one.kwa iyo naweza kusema kwamba ninatamani hata zile

''arranged marriages'' zakina DC zingerudi tu...!kwasaabu gani mi naona kutongozwa katika kipindi hichi siku zote na kwa

asilimia kubwa huwa ni AFTERMATH YA MATAMANIO TU...!i mean we unaweza furahia kutongozwa alaf very late na

umeshatumika sana unagundua ni mume wa mtu...!you will never be happy!..

saaasaaa baasi...!mi narudi pale pale...!kuna furaha ya msingi zaidi katika maisha yako zaidi ya hilo la kutongozwa...!kuna

mambo ya msingi na mazingira ya msingi kabisa ambayo ni lazima uyaandae na kuyafanya kwa pamoja ili uweze kucatch

up na ''the right person'' wa kukutongoza...!

nawahurumia sana wanawake kwa kuwa tu nimekuwa nikifikiri sana ni kwanin wanakuwa na desperations (hasa za

kutongozwa)....?!nimewahi sikia redio fulan za hapo dar wanawake wanaongea kwa kujiamini na kujidai kwamba


''wanamzimia ALIKIBA''...!yani wao wako radhi kwa lolote...!mwingine anasema anamzimia ''MR BLUE''...!sasa hizi ni dalili za

kukata tamaa..!katika hali ya kawaida alikiba au blue watawaweza kweli???...wana wanawake wangapi hao

mastaa??...halaf wakiachwa wanakimbilia kwenye magazeti ''ooh...nimevunjwa moyo''!....

chonde chonde dada zangu....!YOU TAKE TIME TO LIVE BECAUSE THE WORLD HAS SO MUCH TO GIVE!...

I mean msihangaike nayo sana hayo...!ni mambo ya kupita sana!...yana wakati wake pia

 
Alter sio kwamba nakwazika ama kukosa raha kuto tongozwa.... No. Ila tu ni on benefit ya wale ambao hukosa raha.... lol. If you know what I mean.... hahaha.... Missed u.
Miss you more. But nipo permanent sasa. 🙂
Haya basi, I hope hao wasio tongozwa japo wanataka, na hawajui tatizo ni nini sasa wamejua.
 
LIZZY TYPE WOMEN!!! humu kuna member mmoja anaitwa Lizzy,ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja zake!huyu dada kama ktk dunia ya kweli yupo hivyo ili umtongoze na kumpata inabidi ujipange kwelikweli uende na madesa na makabrasha kama mwakyembe ana-present ripoti ya richmond!ya nini yote hayo wakati kuna wanawake kibao!?so Lizzy type wanaume wanakuchunia na maisha yanasonga mbele!
Mkuu don't judge the book by cover, Lizzy she cute humble lady and very social,..... msiogope ogope wanawake kihivyo tena mara nyingi wanawake wa kawaida ndio wasumbufu na majehuri, usije ukamuogopa Halima Mdee kwa sababu anashusha sana mapoint bungeni dunia haiko hivyo mkuu wangu, kwa Nature ya dunia ilivyo kamwe Halima Mdee hawezi kuolewa na Zitto Kabwe bali mwanaume mwingine wa kariba tofauti, na ni ngependa nikutaarifu Halima anatafuta mwanaume wa kumuowa, kama uko interested naye cheki naye.

157427_100001425908463_4956608_n.jpg
 
Unaweza kulalamika hautongozwi kumbe unamkufuru Mungu.Mwishowe unapata balaa la kutongozwa na waume za watu sijui utasema umelogwa?????.
Lakn nijuavyo mimi kuna age ya kutongozwa kwa sana regardless material things kama elimu,pesa,uzuri,ubaya n.k.Hapo ndio wanawake huwa wanaharibu maisha yao au kuyajenga(it all depends).Kipindi hicho huwa ni lazima kipite na kije cha ukame.Hii Mitongozo ya hapa huwa inakuwa nadra au mingi kutegemea circumstances kama mazingira,elimu n.k.

NB:Nadhani huwa inafika kipindi hata wanaume huwa wanachoka kutongoza kutokana na umri.Kuna watu wanaweza kukataa lakn age ina nafasi kubwa kwa sisi wanadamu katika swala la kuwa active au kupunguza.


Zion D nakubaliana na kila neno la hii post.... Thank U. Ila tu hilo la kulalamika naona sio lazima... Kuna wengine (na naamini ndio wengi) hawezi thubutu admit kua hatongozwi.... atabaki nalo tu moyoni na kujiuliza kulikoni.... Hasa kama hapo nyuma kidogo alikua akisumbulwa saana....
 
Blackberry, AshaDii na MJ1.... nyie acheni tu, kutongozwa mnataka, midomo mvute nyie, undenda mdomoni ujae humohumo wakati wa kutongozwa haya

Leo nipo kipovu zaidi ngoja nirudi kulee, naskia kutakua na mabomu ya machozi kwenye thread mojawapo!!!

Nawaacha na hiyo ya enzi zanngu domo zege! hii niliibamba kwa kukopi barua ya bro alimuandikia demu wake enzi hizo
View attachment 49715



Pal lakini si kuna wanaume ambao raha yao wasumbuliwe kidogo na wanawake wanao watongoza... Kwa madai kua akikubali mara moja anakua hafai for ni kiashirio kua ni rahisi kushawishika na wengine? Hivo wengine huona bora asumbuliwe na kuvutiwa mdomo....lol

Hio picha nimeipenda.... yaani hio ndio hasa Original! No kuchakachua na photo shop; What you see on the pic is what you get in person.
 
Back
Top Bottom