asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
nashukurunkujua upo poa!Asakute mie mzima wa afya.... na nafurahi kukuona baada ya mda mrefu....
Nimekupata na nimependa maelezo yako.... Ila tu naomba nikuarifu kua kuna watu wamekutana na kutongozana mitandaoni na later wakajuana vema na kuweza kua wapenzi na hata wengine kuoana... What do you say about hawa?
yeah! it happened and it work for others kwakweli ila thts very unusual for some pia inluding me(labda nitaanza na ww mtandaoni km normal person ila nia lna dhumuni ni after contact ya ana kwa ana)......... Ila siku hizi ile seriousness ya mitongozi imepungua sana ,s'tm unaweza kuwa in a relationship bila hiyo mitongozano just actions zinaongea sasa sijui hili litafanikiwa vipi mtandaoni.....(reason; tatizo la mtandaoni ni km itakulazimu kufunguka na most of the time itakuwa kama unajilipua vile na the chance is 50/50 )