Mwanamke kuvaa nguo ya mumewe/mpenzi....

Hahahahahah....mtani hivi ujue Ijumaa ipo mbali sana eenh!!!

Ila hapo pa kupiga kambi ya turubai umenichekesha sana...unajua una maneno sana wewe mtu(wachache sana wataelewa hapo)...

Sijui na mimi mtu mmoja afanye hacking ya ID yangu nitupiemo advert ya picha kwa msisitizo zaidi...:becky:
 
Mtani sasa ndio nini unafafanuaaaaa weeee kila mtu hadi ataelewa sasa lol...halafu utawaharibia watu siku wakakimbilia home sasa hivi :becky:

Mtani jioni usisahau kutengeneza pudding ya matunda...recipes ni hizi hapa chini...kwa heriiiiii

hee kwani wewe tabibu??
kwani weee waweza lakini??? nauliza wawezaaaaaaaa!

siri ya upele umpate mkunaji na siri ya ugonjwa impate mganga!

na siri ya sikio washa lipate kishungi kuna....
 
itakua vyema sana fanya hivyo hii thread ina watu wazima watoto wamekimbia...tupiamo kapicha tafaaadhali..
 
Mtani sasa ndio nini unafafanuaaaaa weeee kila mtu hadi ataelewa sasa lol...halafu utawaharibia watu siku wakakimbilia home sasa hivi :becky:

Mtani jioni usisahau kutengeneza pudding ya matunda...recipes ni hizi hapa chini...kwa heriiiiii

tamu sana hiyo haswaa jion mrs akiwa amevaa kaptura ya mr kila mmoja akimsaidia mwenzie kuandaa pudin ya tufaa na ndizi...aahh jaman raha ya ndoa hyoo
 
Mtani sasa ndio nini unafafanuaaaaa weeee kila mtu hadi ataelewa sasa lol...halafu utawaharibia watu siku wakakimbilia home sasa hivi :becky:

Mtani jioni usisahau kutengeneza pudding ya matunda...recipes ni hizi hapa chini...kwa heriiiiii

hahahahahhahahahah!!!!!!!!!!!!!!!!
halafu raha yake uipate ukiwa kichwa kiko freshhhhhh!!!!!!!!!!!
papai hilo hapo la kuchanganyia..........

Hapo kwenye nyekundu vipi?
 
Raha saaana aisee, kuna siku ilitokea mvutano kati ya mie na bf wangu. Ye aling'ang'ania kuvaa skin tyt yangu Mwisho wa siku nilimwachia kweli akavaa na kwenda nayo job. Yaan alikuwa very comfortable!!!

cc charminglady Mungu aepushe mbali....angepata ajali kufika hospitali manesi wanamvua nguo wanamkuta na skin tight ya kike.....mameeeeeeee tate nane
 
Sure she is.... naunga mkono
cc Heaven on earth

kiukweli every time she comments, every topic/thread she comments, every word she comments HEAVEN ON EARTH just kills everything. her wonderful brain, exquisite choice of words and ideas plus every reason to feel that she's superbly humble. she's an absolute joy to behold.
 
Umeshawahi kukutana na hili?utajisikiaje/unajiskiaje unavyorud nyumbani unamkuta bibie amevaa shirt/t-shirt/pensi ama surual yako?
Au akaomba kuvaa saa yako wakat anatoka!
Unafikiria nini juu ya mwanamke kama huyo?

Yote mapenzi hayo, na wewe mkuu mbona unalalamika vitu vidogo sana?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…