Mwanamke lazima Abadili Dini na Imani Ili ifanane na yako ndipo umuoe.

High level of maturity, kama una akili ndogo kama pilitoni huwezi kutoboa
 
Hapa tutazunguka mpaka kesho... Mtu anaposema maisha hayana formula / au mapenzi hayana formula haimaanishi kwamba Mapenzi hayana uhusiano na attraction wala haibadilishi uhusiano wa kudumu kwa ndoa na uvumilivu... zile variables zipo ila sababu reaction ni tofauti kati ya mtu na mtu basi majibu yatakuwa tofauti...

Unaongelea binadamu wana wivu linapokuja suala la Mapenzi ? Je wale wanaoshare wake / waume Au yule anayempenda sana mwenza wake sababu anajua hamtimizii kitu fulani akaamua kumuacha achukuliwe na mwingine sababu kwake yeye furaha ya mwenza wake ndio furaha yake utasemaje Yaani yule ambaye yupo radhi yeye aumie ili mwenza wake afurahie utasemaje hapo kwamba hayo sio mapenzi.... au Haujaona mtu anajua kabisa kwa tabia zake sio perfect kwa mtu fulani anaamua ku-sacfrice his/her happiness kwa kumuacha aende.... (au undhani msemo wa if you love someone set him/her free..., ulikuja bila precedent ?) kwahio hata unachosema mapenzi yanaongozwa na wivu as I have just shown does not hold water in all cases.... (Ni myopic thinking na kuwa possisive kwa mwadamu anakodhani anaweza kummiliki binadamu mwenzake) na hizi nyingi mwisho wake huwa ni dissapointments na msongo wa mawazo....

Ingawa kwangu mimi hii hapo chini huenda ndio ikawa true love (na hapo true nasema perfect / ideal) lakini does not mean sababu dunia sio ideal haimaanishi kinachoendelea sio upendo....
 

Attachments

  • 1690196182918.png
    85.3 KB · Views: 5
Nakupata sana that is to say sheria au kanuni hazitaangalia Emotions za wahusika sio
 
😀😀
Hamna Mkuu.
Nimetoa tuu ushauri Kwa Vijana. Leo na kesho Dada zetu mkianza kuwanyima unyumba na kuwapigisha jaramba wasijesema Kaka zao hatukusema

80% ya vijana wa leo wanalilia haki sawa, tena wanasema kizungu hakina kuoa na kuolewa ila kuoana....hovyo kabisaa

Ila mimi dada yao anawaambia sisi wanawake waafrika na waswahili wa Tanzania tumebarikiwa kwamba tunaolewa tena wasituletee habari za haki sawa.
Kikwetu Mwanaume anaoa na Mwanamke anaolewa! Mwenye maono ya kuoa ni mwanaume na sio mwanamke
 
Utumwa wa fikra;
 
Hii kitu ya dini kwenye ndoa staki hata kuiskia ilinifanya nipitie wakati mgumu sana pamoja na baby mama wangu alafu kipindi hicho ndokatoka kujifungua daah depression is really mzee wanasemaga ugali moto mboga moto hakuna pakushika kwake wazazi wamewaka awataki kuelewa kitu upande wangu wazazi wamewaka hawataki kuskia kitu vikako havikaliki vumbi linatimka mwanamke muda wote kulia tu kutengana na mimi hataki nikiwaza kumchukua niondoke nae kimya kimya nikaishinae mbali nikiwaza je likitokea lakutokea maana sisi nibinadami unafikiri nani atakuelewa daah kile kipindi nilichopita sitokisahau
 

Hakuna Mwanamke ambaye anakubali kuwa Uke Wenza, huo ni ukweli.
Kwa sababu penye mapenzi lazima Wivu uwepo.

Wewe unacholeta sasa ni ubishi, hiyo kuongea mpaka kesho labda utafute MTU mwingine WA kuongea naye.

Kama Kwa Akili yako unaona Watu kuolewa Wawili unadhani Hawana Wivu basi utakuwa huna unachoelewa kuhusu kile ninachozungumzia.
 
"Aliponikamata sawasawa" maelezo tafadhali[emoji28][emoji28][emoji28]
 

Pole Sana Mkuu
 

Ningekuwa sijaoa ningetuma posa walahi
 
Hakuna Mwanamke ambaye anakubali kuwa Uke Wenza, huo ni ukweli.
Unaongelea Uke Wenza ? unadhani hio ndio modal pekee

Mimi naongelea wife Swap ; Naongelea tamaduni za wamasai mtu akiondoka mwingine kesho akija anaingia hapo; Naongelea kwa mtoto wa kike kuona kwamba kuolewa na mfalme ni dream yake hivyo yupo radhi hata akiwa mke wa mia tano kwamba hicho ndio anachotaka sasa ukisema binti huyu hakubaliani na dream yake (ile status ) nadhani unaangalia mambo nusu nusu na una-generalize mambo
Kwa sababu penye mapenzi lazima Wivu uwepo.
Nimekupa mfano mtu akipenda kitu hadi akiona kwamba huyu mpenzi wangu anatamani pesa na mimi siwezi kumtimizia hivyo anakosa furaha na kukosa kwake furaha na mimi sina furaha bora aende kwa mfalme huko yaani kupata kwake yeye na mimi nimepata furaha yake furaha yangu (unazungumzia vipi scenario hio) au unaangalia maisha kwa your own perspective na unadhani mitizamo yako ni sawa na mwingine ?
Wewe unacholeta sasa ni ubishi, hiyo kuongea mpaka kesho labda utafute MTU mwingine WA kuongea naye.

Kama Kwa Akili yako unaona Watu kuolewa Wawili unadhani Hawana Wivu basi utakuwa huna unachoelewa kuhusu kile ninachozungumzia.
Wivu wa nini na kwenye nini tatizo lako kubwa ni kudhani unavyodhani wewe ndio msaafu wa maisha ya wengine..., mwingine anapenda furaha ya mwenza wake, yaani akiona vile wanavyomtumikia huyo mwenza kwao ndio wamefika..., kwahio na yeye sababu ana ile position ya mama wa nyumba Mkuu.... kwake anafurahia ile heshima anayopewa; mapenzi mwisho wa siku its all in the mind kwahio ni jinsi unavyoji-position au mtizamo wako kwahio kuna culture nyingine the more wake wenza wanavyoongezeka ndio vijakazi / watu wa kumuheshimu mke wa kwanza inavyoongezeka kwahio ile inakuwa kama family hata wivu ukija huenda usiwe wivu wa kupendwa zaidi au ku-share ile love na muhusika bali ikawa fulani ana watoto wengi zaidi kamzalia fulani kuliko mimi (motherly love)

Narudia tena its all in the mind and since people have different perceptions you can never expect to get same outcomes...
 
Ningekuwa sijaoa ningetuma posa walahi

Wacha tubaki hapahapa kuelimisha vijana

Kuna vijana wangu wa karibu 13; yaani familia na marafiki walikua na matarajio ya kuoana last year nikabahati kukutana na 9 Kati yao. Kati ya hao 9 wa kiume walikua 6 wa kike wa 3. Hadi sasa wale vijana wa kiume wameamua kuahirisha harusi ili kujiimarisha kwanza kiuchumi, wale3 wa kike wawili waliolewa na mmoja akavunja mahusiano.

Vijana wengi hawajui ndoa ni jukumu ila wanajua ndoa ni sex na sex kwao ni starehe
 

Ni kweli wengi wanajua ndoa ni kufanya ngono muda wote.
Ilhali sivyo, ndoa ni kampani, kusaidiana majukumu.
 
Ukweli mchungu!
 
Kwamba ndoa ni majukumu ya mwanaume kuhudumia na sio ma-partner kushirikiana ili kuendesha jahazi ?

Kwamba usubiri kwanza ujiimarishe ki-uchumi na sio kwamba nyote mlio na uchumi duni muingie kwenye Jahazi na Kujiimarisha nyote na pale mkiwa sawa ndio muwe na familia ? (Sababu kumbuka watoto ndio wanahitaji huduma na wala hawajakuomba uwalete hivyo ukiwaleta gundua unahitaji kuwahudumia) nyie wawili hata mkishindia H2O ni uamuzi wenu...

Tatizo ambalo umeongelea wewe ni kwamba kwa sasa hakuna mapenzi ya kweli bali ni fursa.., Logically usemayo wewe ni kwamba masikini wasioe (kumbe tena unakuta masikini ndio wana familia kubwa hence defying your logic);

Moral of my Rant: Kuanzisha familia lazima muwe mmejipanga (sio ujipange bali mjipange) lakini mkiwa mnapendana na mmeshibana mnaweza kuingia nyote na kusaidiana katika shida zenu...

Hio ndio ndoa in an ideal world; lakini sababu uhalisia ni tofauti basi huwezi kuwalaumu hata vijana wa sasa sababu uhalisia ni tofauti na maisha yao ya sasa ni tofauti na ulivyoishi wewe (huenda wewe ndoa ilidumu sababu ya uvumilivu wako na sio perfection ya mwenza wako)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…