Huyu ata mbususu yake hajawai iona 🤣🤣🤣🤣Mwanamke mmoja huko marekani alifungua mashtaka ya kuishtaki kampuni lyft inayotoa huduma za tax mtandaoni kwa kumkatalia sababu ya uzito wake.
Sababu hii ilichangiwa wengine wakisema inaubaguzi na wengine wakisema ni unyanyasaji.
Baada ya kuzuka mijadala mingi kampuni lyft imeamua kuongeza huda za fork kusaidia watu wanaoitaji usafiri.View attachment 3226746View attachment 3226748
Mkuu na Trump alivyobana ARVs utaendelea kutukana sana maamaeeHuyu ata mbususu yake hajawai iona 🤣🤣🤣🤣
Na hao wanaume hapo pembeni ndio lawyers wake nini? Nao wangese tuu
Mie sijawahi tumia arvs wewe... Moja ya maamuzi bora niliyowahi kufanya maishani mwangu.Mkuu na Trump alivyobana ARVs utaendelea kutukana sana maamaee
Siku utazaa wa hivyo.Bora wanifungie tu leseni,sasa ndio umbo gani ilo?
Siwezi, na mke wangu akizaa hivyo nitajua nimepigiwa...angalia hata jina languSiku utazaa wa hivyo.
mambo hujirudia
Aisee!Siwezi, na mke wangu akizaa hivyo nitajua nimepigiwa...angalia hata jina langu