chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Mwanamke mmoja huko marekani alifungua mashtaka ya kuishtaki kampuni lyft inayotoa huduma za tax mtandaoni kwa kumkatalia sababu ya uzito wake.
Sababu hii ilichangiwa wengine wakisema ina ubaguzi na wengine wakisema ni unyanyasaji.
Baada ya kuzuka mijadala mingi kampuni lyft imeamua kuongeza huda za fork kusaidia watu wanaoitaji usafiri.