Mwanamke mmoja Iran aamua kuwakera Ma-Ayatollah kwa kutembea na nguo zilizopigwa marufuku mtaani

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
 
20241103_231043.jpg
20241103_231100.jpg
 
Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
View attachment 3142875
Hapo sio mtaani ni Chuo, na the way watu wanavyompotezea speak louder kuliko yeye alivyokaa uchi
 
Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
View attachment 3142875
Ndio maana Netanyahu anapendwa kila mahali middle east.
 
Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
View attachment 3142875
Amechoka na unyanyasaji uliopo huko. Ameamua liwalo na liwe.

Na utawala wa Iran ukijichanganya kumkamata katika kipindi hiki ambacho kuna fukuto kubwa la Mgogoro kati yake na Israel na Washirika wake, Basi utawala wa huko Iran ujiandae kuangushwa na kuondolewa madarakani. Israel na Marekani wanaweza wakamtumia huyo Mwanamke kama 'Scapegoat' au trigger ya kuweza kuwahamasisha raia wa Iran ili kuukataa utawala uliopo huko Iran, huyo Mwanamke ni kama 'chambo' ili utawala wa Iran 'uingie mkenge' endapo kama utaamua kumkamata na kumtia misukosuko huyo Mwanamke.
 
Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
View attachment 3142875
Mkuu huyo namka wiki atatafutwa na atanyongwa either publicly au atapotelea kusiko julikana.
 
Back
Top Bottom