Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini auwawe wakati alikuwa anaenda Beach kuogelea.Kama alifanya kwa makusudi ili kuchallenge basi anastahili kuuwawa, kama alifanya baada ya kurukwa na akili alistahili kupelekwa hospital, maana mtu mwenye akili timamu hawezi kutembea uchi
Endelea kutembeza mwenge ukumulike mchanaToka hapa uongo wako!
You lack exposure.
Uliza wanaoishi nchi Za Scandinavia watakufahamishaHuyo mwanamke hawezi kushitakiwa mahali popote Ulaya au Marekani, jikite kwenye mada, haihusiani na kutembea uchi.
,bro unaendeleaje, afya yako!?Kwa sheria za huko, sishangai kuskia huyo kesho amechinjwa
Naendelea kuimarika mkuu,bro unaendeleaje, afya yako!?
Hata bila dini ambazo hata mimi sizifagilii ila wewe na huyo mwanamke mna matatizo makubwa ya akili.Huku kwetu bado tuko na legacy kubwa ya dini za majahazi na meli.
Huyo mwanamke amethibitika ni mgonjwa wa akili lakini hata ivyo ameshikiliwa kwa utovu wake wa adabuMwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
View attachment 3142875
wewe ni nani?Waarabu ni wanafki
Pale wagalatia wanapopongezanaAmechoka na unyanyasaji uliopo huko. Ameamua liwalo na liwe.
Na utawala wa Iran ukijichanganya kumkamata katika kipindi hiki ambacho kuna fukuto kubwa la Mgogoro kati yake na Israel na Washirika wake, Basi utawala wa huko Iran ujiandae kuangushwa na kuondolewa madarakani. Israel na Marekani wanaweza wakamtumia huyo Mwanamke kama 'Scapegoat' au trigger ya kuweza kuwahamasisha raia wa Iran ili kuukataa utawala uliopo huko Iran, huyo Mwanamke ni kama 'chambo' ili utawala wa Iran 'uingie mkenge' endapo kama utaamua kumkamata na kumtia misukosuko huyo Mwanamke.