Mwanamke mmoja Iran aamua kuwakera Ma-Ayatollah kwa kutembea na nguo zilizopigwa marufuku mtaani

Mwanamke mmoja Iran aamua kuwakera Ma-Ayatollah kwa kutembea na nguo zilizopigwa marufuku mtaani

Hiyo ni photoshop usitoe bila kucheki, Na atakae toka bila kujistiri atandikwe viboko tu. Ndo maana vijana wa kiume wanakosa hamu na nguvu ya tendo la ndoa mpaka wao huko ulaya wanaamua kusagana na kufirana kwa kutumia maplastic kama uume. Hivyo kujistiri kuna siti kubwa inalinda nguvu kazi za kiiume, ikiwa too much open akili inaona ni kawaida haishtushi mishipa ya kupeleka damu huko. Hekima ya dini hiyo. Usifate kama nguruwe au kondoo ujinga wa magharibi wataangamia hao
 
Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
View attachment 3142875
Kwanini hawo makafir wanawalazimisha watu wavae h8jab ili iweje?
 
Amechoka na unyanyasaji uliopo huko. Ameamua liwalo na liwe.

Na utawala wa Iran ukijichanganya kumkamata katika kipindi hiki ambacho kuna fukuto kubwa la Mgogoro kati yake na Israel na Washirika wake, Basi utawala wa huko Iran ujiandae kuangushwa na kuondolewa madarakani. Israel na Marekani wanaweza wakamtumia huyo Mwanamke kama 'Scapegoat' au trigger ya kuweza kuwahamasisha raia wa Iran ili kuukataa utawala uliopo huko Iran, huyo Mwanamke ni kama 'chambo' ili utawala wa Iran 'uingie mkenge' endapo kama utaamua kumkamata na kumtia misukosuko huyo Mwanamke.
Tayari yupo ndani dawa inapita taratibu, kama hataki sheria za Iran aende huko wanapo mruhusu
 
Wanawake wamechoka kulazimishwa cha kuvaa na Ayatolah kukaa hivyo ana Protest sheria kali za Ayatolah.

Kuna taarifa zinasema ameshauwawa na Revolutionary Guards.
Kama alifanya kwa makusudi ili kuchallenge basi anastahili kuuwawa, kama alifanya baada ya kurukwa na akili alistahili kupelekwa hospital, maana mtu mwenye akili timamu hawezi kutembea uchi
 
Kama alifanya kwa makusudi ili kuchallenge basi anastahili kuuwawa, kama alifanya baada ya kurukwa na akili alistahili kupelekwa hospital, maana mtu mwenye akili timamu hawezi kutembea uchi
Mtu mwenye akili timamu anaweza kujifunika mwili mzima akabakiza macho tu??
 
Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
View attachment 3142875
Nimezumu mpaka nimeona chuchu kwa mbali ngoja kwanza nikaji dronedrake alafu nirudi hapa
 
Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
View attachment 3142875
Watasema ametumwa na Marekani
 
Are you shure wanampotezea or wanaogopa kuji involve nae because of possible bad outcome
Kwa narrative ya hapa wangemsema, wangempiga etc si ndo wangeonekana wabora? Ukiangalia hapo wengi hawana time wanaendelea na shughuli zao kama kawaida, dalili ya maturity na Civilised people.
 
Back
Top Bottom