The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
Kuna watu hawajielewi humuTuache unafiki,kwahiyo hapo amependeza? Siyo tu uislam wala ukristo ambao unaona huyo amevaa vema bali hata tamaduni zetu......utajisikiaje Mama yako, Dada yako au mtoto wako akitoka mitaani amevaa hivyo? Huo ni upumbavu na ujinga kushangilia upuuzi kwa kisingizio cha uhuru