To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
☹️Lazima utolewe mfano ili kusudi wengine wasifuate..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
☹️Lazima utolewe mfano ili kusudi wengine wasifuate..
Wapo busy na israel kwanzaKwa sheria za huko, sishangai kuskia huyo kesho amechinjwa
Ndio maana Netanyahu anapendwa kila mahali middle east.
Mimi najiuliza binti akivaa hivyo mungu anadinda au
Mkuu huyo namka wiki atatafutwa na atanyongwa either publicly au atapotelea kusiko julikana.
Oooooh bro.....u hali gani mkuu.Kwa sheria za huko, sishangai kuskia huyo kesho amechinjwa
Hana tatizo la akili, huo ni ujanja wa Ma-Ayatollah kumficha kutoka kwenye umma kwa sababu limekuwa jambo kubwa dunianiTaarifa rasmi kutoka Iran mwanafunzi huyo ana tatizo la akili na kwa sasa yupo hospitali ila kwa sababu mnapenda kuona watu wanatembea uchi Iran mnaitafutia sababu.nyokoo
Wewe umejuaje Hana tatizo?Hana tatizo la akili, huo ni ujanja wa Ma-Ayatollah kumficha kutoka kwenye umma kwa sababu limekuwa jambo kubwa duniani
sio kwel,mwanamke hawez pita hvyo mtaani lazima polis waje wamchukueUnaruhusiswa, hatuna sheria za nchi za kuelekeza au kupangia watu wavaaje.
Wewe mwanamke akitembea uchi mitaani unapata Raha gani?Hana tatizo la akili, huo ni ujanja wa Ma-Ayatollah kumficha kutoka kwenye umma kwa sababu limekuwa jambo kubwa duniani
Tembea wewe tukuone usiwasukumie wenzioUnaweza hata kutembea uchi kabisa na hakuna wa kukumata,