Mwanamke mmoja Iran aamua kuwakera Ma-Ayatollah kwa kutembea na nguo zilizopigwa marufuku mtaani

Mwanamke mmoja Iran aamua kuwakera Ma-Ayatollah kwa kutembea na nguo zilizopigwa marufuku mtaani

Iran ni lazima wanawake kuvaa hijab kisheria kwenye umma, wasiovaa wanavunja sheria na inategemea siku hiyo basij militia wameamkaje.
Wewe hujawahi kufika Iran bhana unaongopa kwa faida ya nani? Au kuongopa kwako ni tulizo la moyo?

Hata Saudi Arabia ukiingia kwenye mall utakutana na wanawake wanaotembea vichwa wazi.
 
Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
View attachment 3142875
Wakristo inawanogea saana wanawake wakitembea uchi!!! Ni kwanini eti? Vita yenu kwa wenzenu waislam ni juu ya kupiga marufuku kina mama kutembea uchi na ushoga,ila nyie mnapambana wanawake watembee uchi
 
Sis wabongo ni wanafik Sana.

Mavazi ya aina hiyo hapa nyumban si yanasababisha sauti itukauke kwa kulia kuhusu mmomonyoko wa maadili?
Kariakoo tu wanawake wanaopita na nguo za kubana sana watu wanawapigia kelele na kuwaona malaya.
 
Wakristo inawanogea saana wanawake wakitembea uchi!!! Ni kwanini eti? Vita yenu kwa wenzenu waislam ni juu ya kupiga marufuku kina mama kutembea uchi na ushoga,ila nyie mnapambana wanawake watembee uchi
Wapi umewahi kuwaona wanawake Wakristo wakitembea uchi bila sababu mfano wanataka kutuoa laana??
 
Wewe hujawahi kufika Iran bhana unaongopa kwa faida ya nani? Au kuongopa kwako ni tulizo la moyo?

Hata Saudi Arabia ukiingia kwenye mall utakutana na wanawake wanaotembea vichwa wazi.
Sihitaji kufika Iran kujua kuvaa Hijabu ni lazima au Saudi Arabia kujua kuvaa Hijab sio lazima.
 
Sihitaji kufika Iran kujua kuvaa Hijabu ni lazima au Saudi Arabia kujua kuvaa Hijab sio lazima.
Wewe ni kanjanja tu!

Nitapoteza muda wangu bure hapa!
 
Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
View attachment 3142875
Hapo anawakera au anajianika jinsi asivyo na akili kwa kuinesha maungo yake?

Huyo ni wa kupewa msaada wa afya ya akili sio mzima maana hakuna mtu mzima mwenye akili timamu atakayetembea hivyo hadharani.

Nguo za kumuonesha mpenzi wake wakiwa faragha yeye anazionesha hadharani, ni mental case sio vinginevyo.
 
Siku utawala wa maayatolljah ukianguka wananchi wengi wa iran watashangilia kwa vifujo na nderemo kufika kwenye zama mpya. Iran itakuwa nchi mpya yenye uhuru kamili kwa wananchi wake
 
Amechoka na unyanyasaji uliopo huko. Ameamua liwalo na liwe.

Na utawala wa Iran ukijichanganya kumkamata katika kipindi hiki ambacho kuna fukuto kubwa la Mgogoro kati yake na Israel na Washirika wake, Basi utawala wa huko Iran ujiandae kuangushwa na kuondolewa madarakani. Israel na Marekani wanaweza wakamtumia huyo Mwanamke kama 'Scapegoat' au trigger ya kuweza kuwahamasisha raia wa Iran ili kuukataa utawala uliopo huko Iran, huyo Mwanamke ni kama 'chambo' ili utawala wa Iran 'uingie mkenge' endapo kama utaamua kumkamata na kumtia misukosuko huyo Mwanamke.
Unajifurahisha bure tu. Wanawake kibao wamekuwa wakitumiwa na mabeberu kutembea uchi ili kuchochea vurugu za kiraia lakini polisi wa maadili wamedili nao ipasavyo kwa kuchezea kichapo pamoja na kufungwa jela.

Vibaraka walijaribu kuandamana kwa takribani miezi kadhaa lakini walishughulikiwa kikamilifu wenyewe walipoteana maana mkong'oto ulikuwa unatembezwa kisawasawa vibaraka wa mabeberu na mabeberu wenyewe walinyoosha mikono juu.
 
Kichaa kama ulivyo wewe mleta thread.
 
Utawala wa kidini umekuwa kero kubwa kwa uhuru wa wanawake kuvaa mitindo waitakayo kama wanawake wenzao sehemu zingine duniani
 
Siku utawala wa maayatolljah ukianguka wananchi wengi wa iran watashangilia kwa vifujo na nderemo kufika kwenye zama mpya. Iran itakuwa nchi mpya yenye uhuru kamili kwa wananchi wake
Uhuru ni upi kwa tafsiri yako? Au huko kutembea uchi kama mbuzi kwako wewe ndiyo uhuru?

Iran pamoja na sheria zake madhubuti za kulinda tamaduni zao na licha ya vikwazo chungu nzima lakini ina teknolojia ya hali ya juu tishio kwa ulimwengu wote na uchumi imara.

Wewe uliopo hapo nchi ya Danganyika uliye na uhuru hadi wa kutembea nusu uchi hadharani una maendeleo gani ya kujilinganisha na Iran ama nchi yoyote ya Kiarabu iwe yenye vita ama lah?
 
Hapo sio mtaani ni Chuo, na the way watu wanavyompotezea speak louder kuliko yeye alivyokaa uch

Hapo sio mtaani ni Chuo, na the way watu wanavyompotezea speak louder kuliko yeye alivyokaa uchi

Huko kumpotezea ndivyo mnapaswa muwe, sio ujinga wa kulazimisha jinsi kila mtu avae kisa dini ya muarabu iliyobuniwa miaka hivi majuzi na kukuta dini zingine duniani.
Huyo Ayatollah mbona akivaa hiyo dera yake hamumsemi.
 
Back
Top Bottom