John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Inawezekana.Mkuu huyo namka wiki atatafutwa na atanyongwa either publicly au atapotelea kusiko julikana.
Lakini kumbuka: migawanyiko mikubwa ya kijamii iliyopo nchini Iran kiini chake hasa ni hiki. Nchini Iran kuna uasi wa ndani kwa ndani wa kimya kimya unaitafuna nchi hiyo. Wanufaika wakubwa zaidi wa uasi huo ni Israel na Washirika wake wa magharibi.